Mama tuntufye
Senior Member
- Feb 14, 2012
- 131
- 59
Afisa wa Jeshi la Polisi mwenye cheo cha ASP Amos Aron Mwakajoka aliyehamia Dodoma Central akitokea Kizuiani(OCS) katelekeza mke na watoto watatu line police NASACO block no.8. Hii ndio nidhamu mnayofundishwa?
Au yale maadili mnayoimba katika wimbo wenu "Nikiwa afisa wa police"?
Hili linatusikitisha sana sisi majirani raia tunaoishi nje ya kambi yenu tunapomuona huyu Mama mke wa afisa wa jeshi la police kugeuka ombaomba. Kibaya zaidi hadi watoto hawasomi tena!
Jamani michepuko sio dili bakini njia kuu! Mnawatesa malaika wasiokua na hatia, ndo mnapewaga sijui madawati ya jinsia sasa huyu askari anaweza kutoa huduma gani kwa raia akipatwa na matatizo yanayohusu kutelekeza watoto?
Muwe na aibu nyote wenye hizi tabia!
========
Mwendelezo wa Thread hii, upo hapa=>Ukweli kuhusu habari za Afisa wa Polisi aliyedaiwa kutelekeza familia