Afisa huyu kalitia aibu Jeshi la Polisi kwa kutelekeza mke na watoto

Status
Not open for further replies.
Inawezekana mama ni pasua kichwa nadhani hoja nzuri ni kumtaka poti ahudumie watoto wasio kuwa na hatia ingawa huwezi kujua labda watoto wana uwalakini ndo maana poti katelekeza wote.
Ahahahaha nacheka kama mazuri mweeeh
 
Afisa wa Jeshi la Polisi mwenye cheo cha ASP Amos Aron Mwakajoka aliyehamia Dodoma Central akitokea Kizuiani(OCS) katelekeza mke na watoto watatu line police NASACO block no.8. Hii ndio nidhamu mnayofundishwa?
Au yale maadili mnayoimba katika wimbo wenu "Nikiwa afisa wa police"?

Hili linatusikitisha sana sisi majirani raia tunaoishi nje ya kambi yenu tunapomuona huyu Mama mke wa afisa wa jeshi la police kugeuka ombaomba. Kibaya zaidi hadi watoto hawasomi tena!

Jamani michepuko sio dili bakini njia kuu! Mnawatesa malaika wasiokua na hatia, ndo mnapewaga sijui madawati ya jinsia sasa huyu askari anaweza kutoa huduma gani kwa raia akipatwa na matatizo yanayohusu kutelekeza watoto?

Muwe na aibu nyote wenye hizi tabia!

Daah hali mbaya but Labda anajipanga kisha atarudi kuichukua familia, Ila ili Tatizo haliko Kwa Askari huyu tu ni la Watu wengi .....
 
Polisi wenyewe ni kama makondoo wa CCM. Maisha yao ni kama kunguru. Mishahara njiwa.
Uwenda unazungumzia polisi wa kabla ya uhuru....si umesikia Tido alivyokuwa anabwabwaja mdomo eti kwa nini polisi wawe na Magari mazuri.......Tatizo unaishi maisha ya kukalili sana..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom