Kibogoyio2020
Senior Member
- May 4, 2018
- 154
- 77
Anasifiwa kwa lipi ili kuonyesha jitihada za kuikwamua wilaya siha kielimu? Shida inaanzia pale kiongozi tena Wa elimu anavyonunua madaraka ili aweze kututawala.akiwa wilaya ya hai aliwafanya walimu wakakata tamaa ya kufundisha akiwa mtaaluma Wa wilaya. Kwa kuwakatisha walimu tamaa akapandishwa cheo kuwa afisaelimu wilaya yetu.amewafamya baadhi ya waratibu elimu wetu kubwa frustrated na wameshindwa kusimamia elimu vemashule zingine zina walimu watano na ukifuatilia anakujibu yeye sio Waziri Wa elimu. Likizo walimu hawalipwi stahili zao kwa wakati,kituo cha walimu walimu havijui na hstuoni vina ulekeo gani kusadia elimu. Shule za kusaidia KKK alisahau na hajui ziko wapi na zinafanya nini.kwa ujumla tunashauri ili apate utamu Wa cheo chake aungane na walimu kusaidia kufundisha ili aweze wa mfano badala ya sasa kusubiri matokeo ya darasa LA saba na tunakuwa Wa mwisho.Afisa elimu Siha Usijali hao ni mashetani wachache ambao wamepanga kukukatisha tamaa katika kazi yako.
Tunatoa ushauri kuwa malengo ya maadui hayatatimia kamwe.
NB. Wameona unafanya kz kwa ustadi wanaanza kukuchafua, tutawatafuta hao wanaotaka kupata cheo kwa kuchafua wengine
Wewe utakuwa chama cha walimu.sisi tulioko shule ndio tunaloliona.wewe tena sio mwalimu unatetea usilolijua tuulize sisi tulihamishiwa kufundisha wilaya ya siha tukitokea wilaya ya hai.habsri ya cheo sio deal kwa sasa.hapa kazi tu.Suala la shule kuwa na walimu wachache hilo lipo nje ya uwezo wake n'a halina uhusiano n'a hoja iliyotajwa hapo juu
Wewe unamtetea tafuta historia yake ulinganishe na historia yako jibu lake angalia ufaulu Wa wilaya yetu. Mtaaluma wake kila siku anatutukana sisi walimu tena akiwa anaona na hajui atusaidieje. Mimi sitaki cheo Niko kusimamia ukweliMbona sijaona mwalimu anayekuunga mkono hoja yako ?
Acha chuki binafsi Kama ulihamishwa ni kwa Mujibu wa sheria na taratibu. Usihamishwe Ww nani kwani.
Walimu wote Siha wanakushangaa kwa Shutuma zako ambazo hazina ukweli wowote.