Unaweza kutuambia wapi mchina aliingia watu wakazamia kutafuta maisha, hata China kwenyewe hakuna anayeendapo na wenyewe tu wanakimbilia kwa wengine.Afghanistan wana deposit kubwa ya lithium duniani yenye thamani maelfu ya trilioni. Hao wamechukua nchi sasa hivi tu, mchina akiingia hapo soon utasikia watu wanazamia Afghanistan kutafuta maisha.