Affordable houses for low lncome class | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Affordable houses for low lncome class

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by kassamali, Jan 24, 2011.

 1. k

  kassamali JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wadau mwenye utalamu na mambo haya anaweza kunipa wazo kutokana na mwenendo wa maisha ya Bongo wanavyouona.Kwa mfano mtu unataka kuwekeza kwenye mradi unaoweza kujenga nyumba ambazo ni nzuri kwa watu wenye kipato cha kati na ukaziuza kwa mikopo ya miaka 10 je ni zipi risk zake na hasa nikwekeza kwenye mradi wa nyumba kama 1000.

  Je kwa makisio na ktokana na bei za vitu kwa sasa nyumba ya kawaida lakini comfortable inaweza kugharimu kiasi gani kuijenga na hao watu wenye vipato vya kati ni nyumba aina gani wanaweza kuzimudu kwa muda huo wa miaka 10?

  Shukrani
   
 2. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Huo ni uwekezaji mkubwa. Unahitaji kuwaona wataalamu kwa feasibility study.
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kuna thread ilianzishwa ya ngarama za ujenzi wa nyumba tanzania... icheki hii https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/99460-ushauri-gharama-za-ujenzi-nyumba-ya-kawaida-ya-vyumba-3-a.html

  na nyingine ilipata uchangiaji zaidi hii hapa: https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/75026-gharama-za-kujenga-nyumba-tanzania.html

  pia angalia hii... https://www.jamiiforums.com/technology-and-science-forum/75289-je-ujenzi-wa-kutumia-interlocking-bricks-unaweza-kupunguza-gharama-za-ujenzi-dar.html

  pia kuna hii https://www.jamiiforums.com/technology-and-science-forum/75330-mfumo-wa-ujenzi-wa-gharama-nafuu-dar.html

  JF is a place ambayo almost every topic ilishajadiliwa kwahiyo ushauri tu, tumia search options kwenda kwenye archives utapata mahitaji mengi sana

  natumai hizo threads zitakupa mwanga sana kwenye plans zako
   
 4. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  mkuu... i will advice you to close your eyes and get little fund for conducting an investment appraisal of your project based on specific location of land..., current market condition of housing and including current situation of construction sector
   
 5. c

  cronique Member

  #5
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 25, 2009
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kassamali - nimeanzisha project kama hiyo Mwanza. I started with 1 house, sasa hivi najenga 3 at once. PM me for me information and ideas
   
 6. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  unazijenga wapi in Mwanza?how much do you sell them for?je ni kwa mkopo au mtu analipa cash :)
   
 7. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #7
  Jan 25, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  hivi ile nyumba za jamaa wa MOLADI zimeishia wapi?
   
 8. c

  cronique Member

  #8
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 25, 2009
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  30-40m . Kilimahewa na Nyakato sasa hivi.
   
 9. c

  cronique Member

  #9
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 25, 2009
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kwa sasa ni cash, lakini plan kwa baadae ni kukopesha as well. Nasubiri mtaji uongezeke na pia talking to different banks for solution nyingine
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Feb 1, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Nimeona magari yao mjini kwahiyo nadhani watakua wanajiandaa ku-take off... tatizo lao naona ni ile strategy ya kwenda na institutions kubwa kabla ya kuwa proven kwamba wapo robust.

  Given a chance, i would have advised them about demo houses to you professionals under mortgage arrangements badala ya kung'ang'ania jeshi, PPF, PSPF au NSSF
   
Loading...