AFCON: Tanzania kumenyana na Morocco, DR Congo na Zambia kundi F

GROUP A
Ivory cost
Nigeria
Gunea equatorial
Guinea bisau

GROUP B
Egypt
Ghana
Cape verde
Mozambique

GROUP C
Senegal
Cameroon
Guniea
Gambia

GROUP D
Algeria
Bukinafaso
Mauritania
Angola

GROUP E
Tunisia
Mali
South africa
Namibia

GROUP F
Morocco
DRC
Zambia
Tanzania
 
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepangwa Kundi F katika Michuano ya Kombe la Afrika (AFCON) 2023 itakayofanyika Januari 13 hadi Februari 11, 2024 Nchini Ivory Coast na kushirikisha timu 24

Kundi A: Ivory Coast, Nigeria, Equatorial Guinea, Guinea-Bissau.

Kundi B: Misri, Ghana, Cape Verde, Msumbiji

Kundi C: Senegal, Cameroon, Guinea, The Gambia

Kundi D: Algeria, Burkina Faso, Mauritania, Angola

Kundi E: Tunisia, Mali, Afrika Kusini, Namibia

Kundi F: Morocco, DR Congo, Zambia, Tanzania

Bingwa mtetezi katika michuano hiyo ni Senegal, wakati Misri itaingia uwanjani ikiwa ndio timu inaongoza kwa kulibeba mara nyingi taji hilo, mara 7 ikifuatiwa na Cameroon (5) kisha Ghana (4)
 
Sielewi watu walitegemea Stars awe group gani kwasababu kwa uwezo wetu na kiwango chetu cha soka tungewekwa group lolote bado tungebaki kua underdogs tu.

Au nyie mnambie mnadhani group gani lina afadhali kwa Stars mkiangalia?

Jaribu kufanya substitution ya timu kutoka pot 4 kwenye hizo groups afu muweke Stars uone..

Tena hapo tulipo angalau tupo na majirani zetu wawili bahati iliyoje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom