Hatma ya mwenyeji wa AFCON ipo mikononi mwa Tanzania na Zambia

Elvis Legacy

JF-Expert Member
Aug 10, 2017
3,396
4,737
Leo tarehe 24.01.2024 hatua ya makundi ya michuano mikubwa barani Afrika ya AFCON inatamatika.

Mwenyeji Ivory Coast bado ana nafasi finyu ya kutinga hatua inayofuata ya mtoano. Hivyo anaombea kundi F libaki na matokeo yatakayokuwa mazuri upande wao.

Zambia ipigwe na Morocco pia Tanzania ipigwe na Congo DRC vinginevyo kama Zambia ikishinda au kutoa sare wataaaga mashindano. Pia Tanzania ikishinda ndio basi tena.

Nini tutarajie?
Mechi hizo mbili ndio zitafuatiliwa zaidi na wenyeji siku ya leo na zitakuwa ngumu sana, yaani za jasho na damu. Pia Tanzania na Zambia watahujumiwa. Hii ni Afrika.

Kutoka kwa mwenyeji mapema kutapoza mashindano hivyo leo marefa watakuja na matokeo yao mfukoni. Watanzania ambao bado mna uzalendo iombeeni timu yenu.

Nalog out.
 
Kwa nini unasema ana nafasi finyu wakati matokeo uliyosema ndiyo yana uwezekano mkubwa wa kutokea? Ingawa naona uwezekano wa Zambia kumsumbua Morocco kwa kiasi fulani.

Ni afadhali CV avuke maana wamefanya uwekezaji wa maana katika miundombinu yao ya soka na wachezaji wanajituma, ni bahati tu haijawa upande wao. Ningependa kuona wakivuka ili kuendelea kunogesha mashindano. Haipendezi mwenyeji kutoka mapema.
 
Sioni timu ya kupambana kwa jasho unayosema mechi ya Tanzania v drc , bali itakuwa ya upande mmoja kwa drc kushinda.

Labda mechi ya zambia v Morocco
 
Mechi zote hazitabiriki! Tusiibeze Tanzania! Inaweza kutoa sare hapo!
Zambia haitabiriki inaweza kulazimisha sare vile vile!
Naona CV wajiandae kisaikolojia japo walionyesha kandanda safi lakini haikuwa bahati yao kufunga magoli.
 
Leo tarehe 24.01.2024 hatua ya makundi ya michuano mikubwa barani Afrika ya AFCON inatamatika.

Mwenyeji Ivory Coast bado ana nafasi finyu ya kutinga hatua inayofuata ya mtoano. Hivyo anaombea kundi F libaki na matokeo yatakayokuwa mazuri upande wao.

Zambia ipigwe na Morocco pia Tanzania ipigwe na Congo DRC vinginevyo kama Zambia ikishinda au kutoa sare wataaaga mashindano. Pia Tanzania ikishinda ndio basi tena.

Nini tutarajie?
Mechi hizo mbili ndio zitafuatiliwa zaidi na wenyeji siku ya leo na zitakuwa ngumu sana, yaani za jasho na damu. Pia Tanzania na Zambia watahujumiwa. Hii ni Afrika.

Kutoka kwa mwenyeji mapema kutapoza mashindano hivyo leo marefa watakuja na matokeo yao mfukoni. Watanzania ambao bado mna uzalendo iombeeni timu yenu.

Nalog out.
Morocco na drc wanashinda leo. Hakuna cha hujuma wala nini
 
Ni mechi moja tu ya Morocco vs Zambia ndio imeshikilia hatima ya Ivory coast sababu ni mechi yenye uwezekano wa timu zote mbili kufuzu au timu moja kufuzu.

Mechi ya DRC vs TZ kwa matokeo yoyote ni timu moja tu ndio itakayofuzu.
 
Leo tarehe 24.01.2024 hatua ya makundi ya michuano mikubwa barani Afrika ya AFCON inatamatika.

Mwenyeji Ivory Coast bado ana nafasi finyu ya kutinga hatua inayofuata ya mtoano. Hivyo anaombea kundi F libaki na matokeo yatakayokuwa mazuri upande wao.

Zambia ipigwe na Morocco pia Tanzania ipigwe na Congo DRC vinginevyo kama Zambia ikishinda au kutoa sare wataaaga mashindano. Pia Tanzania ikishinda ndio basi tena.

Nini tutarajie?
Mechi hizo mbili ndio zitafuatiliwa zaidi na wenyeji siku ya leo na zitakuwa ngumu sana, yaani za jasho na damu. Pia Tanzania na Zambia watahujumiwa. Hii ni Afrika.

Kutoka kwa mwenyeji mapema kutapoza mashindano hivyo leo marefa watakuja na matokeo yao mfukoni. Watanzania ambao bado mna uzalendo iombeeni timu yenu.

Nalog out.
Matokeo ya kundi E hayawaathiri CV?
 
Kwa nini unasema ana nafasi finyu wakati matokeo uliyosema ndiyo yana uwezekano mkubwa wa kutokea? Ingawa naona uwezekano wa Zambia kumsumbua Morocco kwa kiasi fulani.

Ni afadhali CV avuke maana wamefanya uwekezaji wa maana katika miundombinu yao ya soka na wachezaji wanajituma, ni bahati tu haijawa upande wao. Ningependa kuona wakivuka ili kuendelea kunogesha mashindano. Haipendezi mwenyeji kutoka mapema.
Mwenyeji atoke tu mabaharia waazime geto mechi zipigwe
 
Kwa nini unasema ana nafasi finyu wakati matokeo uliyosema ndiyo yana uwezekano mkubwa wa kutokea? Ingawa naona uwezekano wa Zambia kumsumbua Morocco kwa kiasi fulani.

Ni afadhali CV avuke maana wamefanya uwekezaji wa maana katika miundombinu yao ya soka na wachezaji wanajituma, ni bahati tu haijawa upande wao. Ningependa kuona wakivuka ili kuendelea kunogesha mashindano. Haipendezi mwenyeji kutoka mapema.
Huu ni mwaka 2024 bado kuna watu mnaamini kwenye mpira kuna bahati?

Nyiee
 
Kwa nini unasema ana nafasi finyu wakati matokeo uliyosema ndiyo yana uwezekano mkubwa wa kutokea? Ingawa naona uwezekano wa Zambia kumsumbua Morocco kwa kiasi fulani.

Ni afadhali CV avuke maana wamefanya uwekezaji wa maana katika miundombinu yao ya soka na wachezaji wanajituma, ni bahati tu haijawa upande wao. Ningependa kuona wakivuka ili kuendelea kunogesha mashindano. Haipendezi mwenyeji kutoka mapema.
Ni lazima star asonge mbele
 
Leo tarehe 24.01.2024 hatua ya makundi ya michuano mikubwa barani Afrika ya AFCON inatamatika.

Mwenyeji Ivory Coast bado ana nafasi finyu ya kutinga hatua inayofuata ya mtoano. Hivyo anaombea kundi F libaki na matokeo yatakayokuwa mazuri upande wao.

Zambia ipigwe na Morocco pia Tanzania ipigwe na Congo DRC vinginevyo kama Zambia ikishinda au kutoa sare wataaaga mashindano. Pia Tanzania ikishinda ndio basi tena.

Nini tutarajie?
Mechi hizo mbili ndio zitafuatiliwa zaidi na wenyeji siku ya leo na zitakuwa ngumu sana, yaani za jasho na damu. Pia Tanzania na Zambia watahujumiwa. Hii ni Afrika.

Kutoka kwa mwenyeji mapema kutapoza mashindano hivyo leo marefa watakuja na matokeo yao mfukoni. Watanzania ambao bado mna uzalendo iombeeni timu yenu.

Nalog out.
Hakuna jasho na damu hapo... Mnafungwa vizuri tu..
 
Ila ningekuwa Rais wa nchi, aisee wachezaji wote wa Taifa Stars baada tu ya hayo mashindano, ningewapeleka kwenye kambi mojawapo ya jeshi, ili wakafundishwe walau kwa wiki moja tu; masuala mbalimbali! Yakiwemo yale ya uzalendo na pia ukakamavu.
 
Mtakuwa mnawaonea tu. Kuna mzalendo wa kweli Tanzania hii au tunadanganyana tu
 
Back
Top Bottom