AFCON 2027 BURUDANI: Awilo Kidume cha Mbeya aburudishe

man dunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
3,841
Reaction score
6,803
Huyu ni muimbaji wa nyimbo za asili kutoka Mbeya. Ana sauti ya kuvutia na muziki mzuri wa asili unaovutia kusikiliza hata kama huelewi anachoimba.

Achaneni na hayo mabongo fleva ,sijui amapiano. Burudani AFCON iwe ni nyimbo za asili za akina Awilo na singeli za maadili.
 
Akishirikiana na Wamwiduka,Changamsha band tuone vitu vya asili kuanzia mavazi muziki kama ndaule,maisha....
 
Mwambie abadili jina, hilo ni jina la kongo.
 
Itakuwa poa sana na kuna wana kanda ya ziwa wanaubonda mwingi sana kwenye muziki wa asili waangaliwe pia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…