Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,134
- 664
Ngoja tuone, hatuna namna kwasababu pamoja na kuzingua kwao hatuwezi kuwatenga.
Dk 20 msu 0 - 0 tz
mmakonde una shida sana weweSTARZ wanacheza kama vifua vimejaa moshi.
Mambaz tumefika golini kwa staz mara 5.
kila la heri Tanzania.
Wewe subiri litaingia tu. Hadi mwisho TZ 1-0 MZB.
bila bila dakika 27 acheni uwongo
Wewe mnyarwanda leo umehamia msumbiji.Mimi natumia dishi mkuu ,naipata bila chenga.
bila bila dakika 27 acheni uwongo
ngoja tuone Kama itakuwa hivo..
Ni rahisi mno kwa UKAWA kurudi bungeni kuliko kwa Staz kufuzu leo.Game tamu sana hii.
Wewe mnyarwanda leo umehamia msumbiji.