AFCON 2015 Qualifiers: Msumbiji vs Tanzania

AFCON 2015 Qualifiers: Msumbiji vs Tanzania

Tunakoswakoswa hapa ni hatari Yondani alikua anamsindikiza mtu umahiri wa
Kipa umetuokoa
 
Hakuna kitachozuia msumbiji kushinda leo.

Tumekosa goli hapa,dida kapangua dah!
 
Duh kona golini kwetu lakini tunakoswa koswa duh bado bundi amekaa golini kwetu
 
STARZ wanacheza kama vifua vimejaa moshi.

Mambaz tumefika golini kwa staz mara 5.
 
Saidi Moradi anacheza faulo karibu na box ya penati, wanakosa.
 
Back
Top Bottom