mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,310
- 6,546
Mambaz piga hao staz warudi tuje tuandike katiba mpya.
Mungu wangu
Mambaz piga hao staz warudi tuje tuandike katiba mpya.
All the best Taifa Stars!!!
Tumepanga golini kwa starz .
Hivi boban anacheza namba ngapi leo
Tumepanga golini kwa starz .
Hivi boban anacheza namba ngapi leo
Stars leo tunapiga mtu tatu.
Wana jf
hiyo TVM1 inapatikana kwa king'amuzi gani?
Kwenye hivi visimbuzi vyetu haipatikani tafuta kwenye madishi ya kawaida ya zamani.Wana jf
hiyo TVM1 inapatikana kwa king'amuzi gani?
no need of this wish..
Why do you say that?
Tumeondoa gundu kwa kufunga goli la offside