I told u ,mambaz tunashinda hii game,wachezaji wenu wa staz wanaanguka anguka kama wamelewa.
full time Sisi 2 TZ Moja.
haya mkawapokee mashujaa wenu kesho.
kwa sababu waliomtangulia waliifikisha taifa starz robo fainali ya mashindano hayo!?mi naona malinzi ajiuzuru!!ili kuonyesha uwajibikaji!!!
Kenya bado kakaliwa kooni ngoma bado ni 0 - 0 hadi sasa dk za nyongeza
UPDATE:
mpira umekwisha Kenya OUT! Afadhali sisi yaani Lesotho nina uhakika tungewatoa kabisa!
0 - 0, ila o aggregate Lesotho 1
kwa sababu
waliomtangulia waliifikisha taifa starz robo fainali ya mashindano hayo!?[/QUOT
ss tunataka uwajibikaji!!
Haya Mtujuze nani anaonyesha leo.
Nategea Azam Tv