AFCON 2015 Qualifiers: Msumbiji vs Tanzania

AFCON 2015 Qualifiers: Msumbiji vs Tanzania

Ila kwa mbinde sana! Hahahahahaaaaaaaa! Wapelekwe bunge la katiba wakapongezwe na wasisitize kuwa katiba iwe na ibara inayosema watakaofungwa kwa mbinde wakirudi wanapewa kombe na medani. Si kuna mtu naye aluenda kutoa maoni yake pale baada ya rasimu kusomwa. Heheheeeee, naipenda tanzania
 
Baada ya kufungwa 'kwa tabu' na timu ya msumbiji ,kesho mashujaa wetu watapokewa pale JKNIA.

Baada ya starz,kuna wale serengeti boys waliofungwa 4 bila nao watawasili kesho,huku tukisubiri wale wa jumuiya ya madola.

Tujitokeze kwa wingi kuwalaki.
langu jicho pia sina muda huo Asante Sana i leila..
 
Mtu analala na mke anasema hata hivyo nilitumia condom ha ha ha ha sawa na huu uendawazimu hakuna timu pale. .watu wamekalia chips yai watacheza mpira??!!
 
Hii inasikitisha, hasa wapenzi wa michezo... Commonwealth Games; Gold 0, Silver 0, Bronze 0; Serengeti Boys OUT; Taifa Stars OUT....Kwa mTanzania mpenzi wa michezo Naamini unaumia Sana moyoni kuwa na wawakilishi kama hawa..

Ongezea na hii katiba pia hakuna bajeti kimeo mishahara duni
 
timu tz presha tu....turudisheni umiseta vipaji viko shuleni na mitaani....
 
Baada ya kufungwa 'kwa tabu' na timu ya msumbiji ,kesho mashujaa wetu watapokewa pale JKNIA.

Baada ya starz,kuna wale serengeti boys waliofungwa 4 bila nao watawasili kesho,huku tukisubiri wale wa jumuiya ya madola.

Tujitokeze kwa wingi kuwalaki.

Ha ha ha ha!
 
Mtu analala na mke anasema hata hivyo nilitumia condom ha ha ha ha sawa na huu uendawazimu hakuna timu pale. .watu wamekalia chips yai watacheza mpira??!!

wapo wengine wa x-videos mule, hawana nidhamu kabisa uwezo mdogo, kubebwa wana bebwa hawabebeki..team tz ni ya kuvunja moyo tu
 
Kichwa cha mwendawazimu,kila mtu anajifunza kunyoa.walianza Serengeti boys leo kaka zao.World cup Russia tutakwenda kwa mwendo huu?
 
Magazeti yetu yanavyokuwa yanatutia moyo kabla ya mechi...

Naacha kuyasoma.
Nimekata tamaa na conventional sports.
Tuanzishe mashindano ya kukata viuno majukwaani "timu baikoko" na "timukangamoko" zitatutoa kimasomaso.
 
Mechi ilionyeshwa na tv 1 mozambique, wale wenye madish makubwa free channel walifaidi.
 
Ongezea na hii katiba pia hakuna bajeti kimeo mishahara duni

nchi hii Ina matatizo mengi Sana...
..na bahati mbaya hata wanaanchi wake wanaanza kukata tamaa...
wenye nafasi wanaona mda umefika kujitwalia..!!
 
Back
Top Bottom