Naona kama BFA wamekubali kichapo...
Sioni dalili za Nigeria kuukosa ubingwa..
Bado dak 3
Mpira umeisha...Nigeria mabingwa....
Nachukua nafasi ingine kukupongeza kwa kuchukua kombe
Over rafiki. Nimefurahi sana. nigeria bravoo. Vp wewe are u happy?
At last, this iz what I wanted to hear. Well done the Super Eagles, am dreaming for Taifa Stars one day.
Ninaraha hadi imepitiliza. Hongera sana, najua leo utalala usingizi mtamu.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Namkumbuka sana left wing Victor lkipeba na Tijan Babangida
unanitoa machozi mkuu ile list haitakuja tokea tena. kulikuwa na Finidi George emmenuel amunike samson siasia chidi nwanu daniel amokachi mtoto wa tembo Nwankwo kanu dah na goalie wao Oladosu we acha tuu
Acha kabisaaa, napata mvinyo kidogo ndo nilale lol. Karibu.
Hata mie naaga sasa...
Wakishapewa kombe natimua mbio...
acha tu walikuwa wakiitwa kings of comeback. mara nyingi wakifungwa walikuwa wakirudisha na kushinda mechi.Umemsahau Jay Jay Okocha na super mid fielder Sunday Orisei!!