Afaulu la saba bila kufanya mtihani

Afaulu la saba bila kufanya mtihani

vyuku

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
503
Reaction score
87
Leo ktk kipindi cha tuongee magazetini asbh kinachorushwa na radio free kimeeleza kuwa kijana mmoja adhangazwa baada ya kutangazwa na kuwemo ktk orodha ya wanafunzi waliofaulu ktk mtihani wa darasa la saba wakati hajafanya mtihani huo baada ya kusimamishwa shule kwa kushindwa kulipa ada,jamani kuna nini tz yetu??je tuamini kuwa ni kweli ufaulu umezidi mwaka huu au ndio geresha la kuwafurahisha wananchi??jiulize wangapi ambao hawajajitokeza ambao nao wamefaulu bila kufanya mtihani???? Tafakari chukuwa hatua...
 
Unaposikia mwanao kafaulu usishangilie kama zuzu jiulize mara mbili mbili
 
hahahaha rais yupo bize kuwachomoa washikwa na madawa ya kulevya
 
Leo ktk kipindi cha tuongee magazetini asbh kinachorushwa na radio free kimeeleza kuwa kijana mmoja adhangazwa baada ya kutangazwa na kuwemo ktk orodha ya wanafunzi waliofaulu ktk mtihani wa darasa la saba wakati hajafanya mtihani huo baada ya kusimamishwa shule kwa kushindwa kulipa ada,jamani kuna nini tz yetu??je tuamini kuwa ni kweli ufaulu umezidi mwaka huu au ndio geresha la kuwafurahisha wananchi??jiulize wangapi ambao hawajajitokeza ambao nao wamefaulu bila kufanya mtihani???? Tafakari chukuwa hatua...

Ada ipi?
 
hii siyo tetesi ni kweli, big result now..

BRN oyeeee...... .......!

Big results ndio hizi.....

Big results now!

Upuuzi wa Big result
brn.png

BRN-Big-Results-Now-Tanzania.jpg
 
Huyo hajafaulu...kafaulishwa...Lol.. Big Results Now tutaona mengi
 
Mzazi akomae huyo mtoto aende sekondari,dogo amepata bahati ya mtende huyo.waanze kujiandaa kwa yunifom na madaftari sasa wasikubali kushindwa.
 
Alafu kwa kujiamini wanatangaza eti hakuna mwanafunzi asiejua kusoma, kuandika wala kuhesabu (K3). Waziri wa elimu ndie angekua mstari wa mbele kujiuzulu.
 
Dogo kapata zali kama yesu alivyopaa! Hapo mzazi akashone uniform haraka sana dogo atinge form one! Ya Mungu Mengi
 
Leo ktk kipindi cha tuongee magazetini asbh kinachorushwa na radio free kimeeleza kuwa kijana mmoja adhangazwa baada ya kutangazwa na kuwemo ktk orodha ya wanafunzi waliofaulu ktk mtihani wa darasa la saba wakati hajafanya mtihani huo baada ya kusimamishwa shule kwa kushindwa kulipa ada,jamani kuna nini tz yetu??je tuamini kuwa ni kweli ufaulu umezidi mwaka huu au ndio geresha la kuwafurahisha wananchi??jiulize wangapi ambao hawajajitokeza ambao nao wamefaulu bila kufanya mtihani???? Tafakari chukuwa hatua...

Hi ndiyo Tanzania yetu, nyingine nj ya kichina
 
kuna mtu atapewa Phd kwa style hyo

Mkuu Bulldog, kwani JK alipopewa Phd ya heshima ya Afya ni nini alichokifanya kwenye sekta ya Afya mpaka astahili hilo? Si sawa tu na hili la kufaulishwa bila kufanya mtihani?? Only in Tanzania!
 
Back
Top Bottom