Afariki dunia kwa kuzidiwa utamu wa mapenzi

Afariki dunia kwa kuzidiwa utamu wa mapenzi

Kaka hii inatokea kuna siku niliwahi ku experience kwa bint mmoja kakazima kabisa wakat mm nakishughulikia...nikakiacha tangia siku hiyo kisije kikanifia buree

kaka sijui inatokeaje, mie ilishawahi nikuta, alinyanyuka akienda kujiswafi basi alidondoka chini hapo hapo akaanza kupiga kelele kisha akatoa macho, akawa anahema kwa mbali akisema hawezi kunjua miguu, sasa sijui lactic acid ilipungua kwenye misuli au mziki niliompa, niliogopa sana, lakini alipopata fahamu, akaniambia nimchemshie maji, nikamuuliza kulikoni akadai ya kukandia papuchi la sivyo asubuhi itakuwa ni shiida kutembea, mpaka leo sijamrudia zimebaki salamu tu
 
dhambi ikishika mimba huzaa na ikiisha kuzaa hukoomaaa na kisha huapatikana mauti

naam mauti ya jehanamu

RIP marehemu
 
Kijana mmoja nchini Malawi Fletcher Jere (26) amefariki dunia kutokana na kuzidiwa utamu wakati akifanya ngono na kahaba mmoja mjini Blantyre.

Gazeti la Daily Times nchini Malawi limeripoti kuwa kijana huyo alinunua kahaba huyo maeneo ya Ndirabe katikati ya jiji la Blantyre.

Afisa wa Polisi mjini Blantyre Bi.Edina Ligowe amesema Jerre alikufa kutokana na kuwa na hisia za juu sana pamoja na kuhisi utamu uliopitiliza wakati akifanya ngono na kahaba huyo (sexual excitement and sweetness).

Aidha Afisa huyo amesema kuwa kahaba huyo hatafunguliwa mashtaka yoyote kwa sababu hakuna kosa alilofanya kwa yeye kuwa mtamu kupitiliza. "She committed no crime by being too sweet to the man"

mmezidi sasa, story iko humu zaidi ya mwaka, tena imeletwa zaidi ya mara mbili
 
Back
Top Bottom