Afariki dunia kwa kuzidiwa utamu wa mapenzi

Kijana mmoja nchini Malawi Fletcher Jere (26) amefariki dunia kutokana na kuzidiwa utamu wakati akifanya ngono na kahaba mmoja mjini Blantyre.

Gazeti la Daily Times nchini Malawi limeripoti kuwa kijana huyo alinunua kahaba huyo maeneo ya Ndirabe katikati ya jiji la Blantyre.

Afisa wa Polisi mjini Blantyre Bi.Edina Ligowe amesema Jerre alikufa kutokana na kuwa na hisia za juu sana pamoja na kuhisi utamu uliopitiliza wakati akifanya ngono na kahaba huyo (sexual excitement and sweetness).

Aidha Afisa huyo amesema kuwa kahaba huyo hatafunguliwa mashtaka yoyote kwa sababu hakuna kosa alilofanya kwa yeye kuwa mtamu kupitiliza. "She committed no crime by being too sweet to the man"

Sababu ya kifo cha huyo jamaa naitilishia shaka kwani sio scientific. Hivi sio kwamba aliiishiwa punzi na kufanya akatike? Hivi kuna scholarship inayoongelea kuwa climax inaua?
 
Duuh hiyo papuchi aliyo kutana nayo sijui ilikua tamu kiasi gani?!! I wish niipate!
 
Kijana mmoja nchini Malawi Fletcher Jere (26) amefariki dunia kutokana na kuzidiwa utamu wakati akifanya ngono na kahaba mmoja mjini Blantyre.

Gazeti la Daily Times nchini Malawi limeripoti kuwa kijana huyo alinunua kahaba huyo maeneo ya Ndirabe katikati ya jiji la Blantyre.

Afisa wa Polisi mjini Blantyre Bi.Edina Ligowe amesema Jerre alikufa kutokana na kuwa na hisia za juu sana pamoja na kuhisi utamu uliopitiliza wakati akifanya ngono na kahaba huyo (sexual excitement and sweetness).

Aidha Afisa huyo amesema kuwa kahaba huyo hatafunguliwa mashtaka yoyote kwa sababu hakuna kosa alilofanya kwa yeye kuwa mtamu kupitiliza. "She committed no crime by being too sweet to the man"
hahahhaaaaaa Mbavu zangu mie!Kha !sidhai kama kuna utamu wa hivyo, huyo jamaa alikuwa mgonjwa tu
 
Hapo Ndo Uamini Kuwa Kuna Wanawake Mafundi Hadi Unaomba Poo Mie Na Ujanja Wangu Wote Nilikutana Na Dada Mmoja Akanipa Show Za Kibabe Balaa Ikilala Anaiamsha Anakwea Mwanzo Mwisho Hadi Kilo Nililoose Ndani Ya Siku Mbili Toka Hapo Nikamkimbia,mwanamke Nimeanza Naye Saa 2 Usiku Hadi Saa Moja Asubuhi Nangonoka Naye Kwakweli Muda Wa Kupumzika Haukuwepo

Ulikariba kufa
 
Threads kama hizi rubii anazipenda kweli kweli yaani!!!
 
Last edited by a moderator:
Kijana mmoja nchini Malawi Fletcher Jere (26) amefariki dunia kutokana na kuzidiwa utamu wakati akifanya ngono na kahaba mmoja mjini Blantyre.

Gazeti la Daily Times nchini Malawi limeripoti kuwa kijana huyo alinunua kahaba huyo maeneo ya Ndirabe katikati ya jiji la Blantyre.

Afisa wa Polisi mjini Blantyre Bi.Edina Ligowe amesema Jerre alikufa kutokana na kuwa na hisia za juu sana pamoja na kuhisi utamu uliopitiliza wakati akifanya ngono na kahaba huyo (sexual excitement and sweetness).

Aidha Afisa huyo amesema kuwa kahaba huyo hatafunguliwa mashtaka yoyote kwa sababu hakuna kosa alilofanya kwa yeye kuwa mtamu kupitiliza. "She committed no crime by being too sweet to the man"

Jini mahaba huyo demu
 
Ebo mupya nyingine kweli naanza kuamini humu duniani vituko vitazidi kutokea siku hadi siku alafu vyote vipya vipya
 
Back
Top Bottom