Afariki dunia kwa kuzidiwa utamu wa mapenzi

Afariki dunia kwa kuzidiwa utamu wa mapenzi

wembeee

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2015
Posts
2,708
Reaction score
1,362
Kijana mmoja nchini Malawi Fletcher Jere (26) amefariki dunia kutokana na kuzidiwa utamu wakati akifanya ngono na kahaba mmoja mjini Blantyre.

Gazeti la Daily Times nchini Malawi limeripoti kuwa kijana huyo alinunua kahaba huyo maeneo ya Ndirabe katikati ya jiji la Blantyre.

Afisa wa Polisi mjini Blantyre Bi.Edina Ligowe amesema Jerre alikufa kutokana na kuwa na hisia za juu sana pamoja na kuhisi utamu uliopitiliza wakati akifanya ngono na kahaba huyo (sexual excitement and sweetness).

Aidha Afisa huyo amesema kuwa kahaba huyo hatafunguliwa mashtaka yoyote kwa sababu hakuna kosa alilofanya kwa yeye kuwa mtamu kupitiliza. "She committed no crime by being too sweet to the man"
 
Kaka hii inatokea kuna siku niliwahi ku experience kwa bint mmoja kakazima kabisa wakat mm nakishughulikia...nikakiacha tangia siku hiyo kisije kikanifia buree
 
Huyo labda alikua na ugonjwa wa kisukari, utamu wa penzi ulipo zidi na sukari nayo ikapanda.
 
Aisee hivi kumbe kuna makahaba ni matamu kupitiliza eeh
 
Hapo Ndo Uamini Kuwa Kuna Wanawake Mafundi Hadi Unaomba Poo Mie Na Ujanja Wangu Wote Nilikutana Na Dada Mmoja Akanipa Show Za Kibabe Balaa Ikilala Anaiamsha Anakwea Mwanzo Mwisho Hadi Kilo Nililoose Ndani Ya Siku Mbili Toka Hapo Nikamkimbia,mwanamke Nimeanza Naye Saa 2 Usiku Hadi Saa Moja Asubuhi Nangonoka Naye Kwakweli Muda Wa Kupumzika Haukuwepo
 
haha kuna wanawake mafundi balaa
 
Siku yake ilifika kwani yeye ndo wa kwanza kupewa utamu?
 
Hahaaaaahaa hii kali unajua hy mambo yapo kbs HT co utani mtu unazima kbs HD urudiwe na fahm inachukua MD c mchezo. Il à jamaa kafa kishujaa hatari!
 
Back
Top Bottom