Afariki baada ya mpenzi wake kumnyonya shingoni

Afariki baada ya mpenzi wake kumnyonya shingoni

Sasa itabidi turudi kwenye mtindo wa rara nikurenge mama Bhoke. Au kujifunga clip bandage shingoni kabla ya Kila tendo.
98626.jpg
 
Lakini,ukitafsiri neno "LOVE-BITE" kwa kiswahili cha hapa na pale ni "kung'ata kwa upendo/huba"!Au siyo?
Ndiyo. Kanisani kwangu huwa nawaambia watu wanaopenda a huwa hawang'atani, hivyo nikiona haka ka-love bite kunoko shingo ya muumini basi namtoa kanisani na hata kumsimamisha kushiriki Misa.
 
Back
Top Bottom