Afariki baada ya mpenzi wake kumnyonya shingoni

Kijana mwenye umri wa miaka 17 kutoka Mexico City, Mexico, ameripotiwa kufariki baada ya kupata kile kinachojulikana kama love bite au hickey shingoni kutoka kwa mpenzi wake.

Kwa mujibu wa taarifa, nguvu ya kunyonya kwenye ngozi ya shingo inadaiwa kusababisha damu kuganda ndani ya mshipa, na baadaye damu hiyo iliyoganda kusafiri hadi kwenye ubongo na kusababisha kiharusi kikubwa.

Inadaiwa kuwa kijana huyo alianza kupata degedege akiwa mezani na familia yake, kisha akapoteza fahamu. Wahudumu wa dharura walijaribu kumuokoa lakini hawakufanikiwa.

Madaktari wanaeleza kuwa eneo la shingo lina mishipa muhimu ya damu, hivyo majeraha makali au shinikizo lisilo la kawaida yanaweza, katika visa vya nadra sana, kuharibu mshipa au kuchochea kuganda kwa damu.

Mapenzi mbaya mapenzi mabaya mapenzi mabaya.
 
Kunyonya shingo ni hatari sana,kuna Carotid artery inayopeleka damu nyingi kwenye ubongo ,upande wa kulia na kushoto wa shingo ,sasa love bite inasababisha blood clot( Damu kuganda)na hii inapunguza usambazaji wa damu kwenye ubongo . Mwisho mtu anapata Ischaemic Stroke .
 
Duhh na wanavyofanyia sifa siku hizi ili aonekane hakuwa mdhaifu kwenye mechi😁
 
Kuna majitu hayajui tofauti ya kung'ata kawaida na love bites.. siku moja niling'atwa kifuani nikatoa ukelele wa uchungu binti akadhani ndo kapatia akaning'ata tena mara ya pili nikamsukuma na kumpiga marufuku kuning'ata tena.
 
Kijana mwenye umri wa miaka 17 kutoka Mexico City, Mexico, ameripotiwa kufariki baada ya kupata kile kinachojulikana kama love bite au hickey shingoni kutoka kwa mpenzi wake.

Kwa mujibu wa taarifa, nguvu ya kunyonya kwenye ngozi ya shingo inadaiwa kusababisha damu kuganda ndani ya mshipa, na baadaye damu hiyo iliyoganda kusafiri hadi kwenye ubongo na kusababisha kiharusi kikubwa.

Inadaiwa kuwa kijana huyo alianza kupata degedege akiwa mezani na familia yake, kisha akapoteza fahamu. Wahudumu wa dharura walijaribu kumuokoa lakini hawakufanikiwa.

Madaktari wanaeleza kuwa eneo la shingo lina mishipa muhimu ya damu, hivyo majeraha makali au shinikizo lisilo la kawaida yanaweza, katika visa vya nadra sana, kuharibu mshipa au kuchochea kuganda kwa damu.

Mtoto mdogo miaka 17 anakimbilia mapenzi! mwana kulitafuta mwana kulipata
 
CC: all UDSM chicks.
 
Love bite inaua kama mtu atakusa mshipa muhimu wa damu apo shingon pia mpenzio anaweza kukuua au kukusababishia kiharus makusudi kwa kuubana mshipa wa shingo kupitia mdomo wakat wa mahaba
 
Back
Top Bottom