Afanyeje ili amnusuru mwanae asiwe hanithi?

mkuu,,ukimwamini Mungu saaan bila kufanya kazi utakula?
mkuu.,, ukimwamini Mungu saaan bila kusoma utaelimika?
Ya Mungu mpe Mungu, ya Kaisari...
 
Mmh!
 
Huu ni upuuzi tu tena upuuzi wa kiwango cha lami. Kwa maelezo yako inaonekana kabisa wewe ni kitoto cha "form two". Na hii ndiyo shida ya Jamii Forumu kwa sasa; imejaa vitoto vya sekondari ndiyo maana hoja za kipuuzi na hovyo hovyo zimejaa humu ndani.
Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa huyo dogo alifanya mustabation na alipoona yeye ni hanithi akaenda kumwambia mama yake??? Pathetic.
 
Njoo inbox dada
 
Apige maombi, na ampeleke mtoto kwenye maombi. Hayo ya kukutanisha sehemu za siri za mama na mtoto ni kumwongezea mtoto laaana.

Aende kwa Yesu atamponya.
 
Elewaa tatzo sio maendeleo ya kitovu... tatizo ni kitovu kudondokea kwenye dyudyu...!!
 
mkuu,,ukimwamini Mungu saaan bila kufanya kazi utakula?
mkuu.,, ukimwamini Mungu saaan bila kusoma utaelimika?
Ya Mungu mpe Mungu, ya Kaisari...
Kwani Mungu kasemaje?labda hujui,Mungu naemuabudu ameyasema yote....
Mbona biblia ipo wazi....biblia inasema...

Asiye fanya kazi na asile....

Biblia pia inasema"mkamate sana elimu usimwache aende zake......

Ndo Mungu huyuhuyu !
Shida ni kuwa hakuna maarifa,hamsomi biblia,hamtaki kujifunza!

Inshort biblia ina kila tu na hata hili ni la Mungu sio kaisari,but watu mmefungwa ufahamu
 
Sio hivyo. Inatakiwa iwe kwa akili Timamu mtoto akistuka tu ndo dawa
 
duh! ndio maana dunia ina shida..!!
 
Hii sayansi ni ngumu kumeza,

Naifananisha na ile ya kusahidia mche wa mpapai dume kuzaa matunda kwa kufungia gunzi la mhindi au kugongelea msumali.

Fedhea kubwa sana mtoto kuliona lango alilo tokea na hatimaye kuligusa kabisa!

Kama vipi watumie ile njia ya wahenga kwamba mwanaume hasipo weza kusimamisha basi atatakiwa kuzibuliwa mtaro na mbuzi, akimwingizia anapona uhanisi.
[emoji17]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…