Afanyeje ili amnusuru mwanae asiwe hanithi?

Afanyeje ili amnusuru mwanae asiwe hanithi?

Ha ha ha imenilazimu nicheke kwa sauti hadi watu wanishangae
 
Hakuna kitu km hicho!
Shetani mshenzi sn,anachotaka hapo ni kupandikiza zinaa miongoni mwa ndugu!

Aende kwa watumishi wa Mungu akafunguliwe tu,ni mambo ya mila ambazo adui anazitumia kupiga familia
 
Ati nini! Kijana achovye uchi wa mama yake si ndio laana hiyo ya kujitakia
 
Habari za mwanzo wa juma wanajamvi
Kuna tamaduni km sio mila japo sina uhakika km ni kwa makabila yote ama ni baadhi hususani kwa hapa TZ ya kwamba pindi mtoto anapozaliwa mzazi inabidi awe makini wakati kitovu kitakapoachia kisiangukie sehemu ya uume kwa mtoto wa kiume na kisiangukie sehem ya uke kwa mtoto wa kike endapo hilo litajitokeza kuna uwezekano mkubwa kwa mtoto wa kike asipate mtoto na kwa mtoto wa kiume nae asipate mtoto au hata atakapobaleh uume wake hautaweza kusimama.

Sasa kilichotokea ktk hii family historia inaonesha huyu mama mwanae wa kiume kitovu kiliangukia ktk sehem yake ya uume na ushauri aliokua anapewa ni achukue uume wa mwanae na kukutanisha na uke wake basi tatizo litakua limeisha.Ila kwa kipindi chote hicho mama alikua anaona ni kitu kisichowezeka na kupotezea kwa kua mtoto bado alikua mdogo.

Maisha yamesonga na mtoto amebalehe lakini kwa babu hamna maajabu yaani uume hausimami na mama mtu kahangaika sana kwa madaktari anàambiwa mtoto hana tatizo na akiangalia upande wa pili kwenye mambo ya kienyeji anaambiwa hakuna dawa zaidi ya kuchukua utupu wa mwanae na kukugusanisha na uke wake ikizingatiwa mwanae ameshakua na yeye mtoto ameanza kupata stories kwamba dawa ni afanye hilo tukio mama yake.Na mama MTU anajutia kwa dharau zake toka mtoto akiwa mdogo angeweza kufanya hilo na mambo yangeisha kimya kimya ila kwa sasa story zimezagaa kitaa na ikitokea mtoto akawa fresh bas kitaa kitajua kwamba bi mkubwa kashafanya yake na mtoto ndio ivo nae muda wote kakaa kinyonge.

Mdingi nae yupo haelewi afanye nini nimeuleta uzi kwenu wana JF nikiamini anaweza pata ushauri utakaomvusha ktk huu mtihani

Mtoto ana umri gani?
 
Hivi ile ishu ya kudondokea kitovu ni kweli kabisa miye siamini ?
 
Mimi kuna inshu kama hiyo nilihadithiwa namjomba wangu kuwa palikuwa nakijana mwenye hali kama hiyo kijijini kwao huko nakijana alikuwa kishakuwa mkubwa kabisa miaka sio chini ya 28 mama mtu akawa anawaza aaanzaje kumfanyia mtoto wake kitendo kama hicho, wanandugu wakashauriana chini kwa chini kuwa wampe kijana pombe bila yayeye kujua dhumuni lakupewa pombe nakweli kijana akapewa pombe nakwabahati nzuri alikuwa nimtumiaji kiasi japo sio sana naalipoona nizabure akanywa zaidi kwahiyo lengo likawa limetimia mama mtu akamchojolea mwanae uchi akagusanisha. Tokea hapo kijana akawa vzr akawa ndio kama kabalehe akaanza kuwatembezea wanakijiji wenzake mpini wamaana naakaoa nawatoto juu,

NB: nilisimuliwa namjomba wangu sio kama nilishuhudia jaman
Mmh...aisee inawezekana...!!
 
Hakuna kitu km hicho!
Shetani mshenzi sn,anachotaka hapo ni kupandikiza zinaa miongoni mwa ndugu!

Aende kwa watumishi wa Mungu akafunguliwe tu,ni mambo ya mila ambazo adui anazitumia kupiga familia
Maisha yako yotee Jua kuwa kuna milaa na desturi ambazo ukiend kinyume nazoo hakikaa yatakukuta majangaa...na solution yake pia ipo kwa baadhi ya mambo kama hili..!!
 
Maisha yako yotee Jua kuwa kuna milaa na desturi ambazo ukiend kinyume nazoo hakikaa yatakukuta majangaa...na solution yake pia ipo kwa baadhi ya mambo kama hili..!!
Mila nyingi na desturi ni mpango wa adui kuabudu miungu haku a lolote !
Na hiki ni kifungo kikubwa sn!
Ndo maana kizazi cha ss kinapigika sbb wanekiuka /wamekataa kuabudu miungu kupitia hizo mila za kishenzi!

Kuna wengine wamepuuzia tu,kuna wengine qamwamua ku.geukia Mu gu wa kweli ndo maana wanapigwa!
Biblia imekataza na solution ipo kwa Mungu peke ake!
 
Mila nyingi na desturi ni mpango wa adui kuabudu miungu haku a lolote !
Na hiki ni kifungo kikubwa sn!
Ndo maana kizazi cha ss kinapigika sbb wanekiuka /wamekataa kuabudu miungu kupitia hizo mila za kishenzi!

Kuna wengine wamepuuzia tu,kuna wengine qamwamua ku.geukia Mu gu wa kweli ndo maana wanapigwa!
Biblia imekataza na solution ipo kwa Mungu peke ake!
Sikataii lakini bhasi kama.huamini ebuu ukizaa mwanao jaribu hilii jambo afuu utapata Jibu...!! Afuu ulete na mrejesho kama Mungu atatupa uhaii panapo majaliwa...
 
Hizo ni stori za kale za mababu na lengo lilikuwa ni kuwafanya kina mama kuwa makini na maendeleo ya watoto wao hasa eneo hilo la kitovuni ambapo sote tunajua madhara yake kama mama anakuwa sio mtu wa kujali.
Wao walishaishi maisha yao sasa itashangaza kwa dunia ya leo kama bado watu wataendelea kuamini mambo hayo.
 
Back
Top Bottom