ustadhijuma
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 3,133
- 2,117
MKWEPA KODI unajua maana ya shithole? shithole maana yake ni MK4NDU na sio shimo la choo kama wanavyofasiri baadhi ya watu wasiojua ilmu ya tarjama (translation) sikushauri kumsupport TRUMP
Inasemekana hauingizi kabisa ila kumuonesha papuchi mwanae wa kumzaa ndio mhhAupitishe tu kama ndio dawa..au wamesema aingize kabisa??
Na hii ndio duniaHaya ni maajabu ya nane ya dunia....
Bado hujachangia mada mkuu ila umetuhukum na uafrica wetuHalafu Trump akisema afrika ni shithole tunapiga makelele utadhani tumedhulumiwa dhahabu tani kadhaa kumbe ni mambo yetu haya ya karne ya Tatu
Ndio ishatokea ivo cjui asaidiwe vpMdharau Mwimba Mguu huota Tendeee.. Siku zote Mila za Kiafrica zipo hawa wadada wanasoma hizi shule za Kukalili wanamdharau sana sasa Mtoto wake ndiyo hivyo alishakuwa hanithi kwa ubishi wake... Acha akome na dharau zake
akuna dawa nyingine tofaut na hio au aka gongwe na beberu
eti agongwe na beberuOption no 2 hio![]()
![]()
eti agongwe na beberu
mkuu imani si kama unavyofikiria wewe,ni zaidi ya huyo trump,acha kujidharau mkubwa ndio maana unapata dharau kutoka kwa akina Trump,kila nchi ina tamaduni zake za wazi na zisizo za wazi,mbona mnawadharau sana waafrika,hivi unajua ndio walio muosha Dr livingstone na kumfanyia mumification na mwili wake haukuoza mpaka kafikishwa kwao na akazikwaHalafu Trump akisema afrika ni shithole tunapiga makelele utadhani tumedhulumiwa dhahabu tani kadhaa kumbe ni mambo yetu haya ya karne ya Tatu
Hujawahi kuckia tiba yakeZamani walikuwa wanasema kitovu kikiangukia kweli inakuwa hivyo;
ila hii ya kukutanisha na uke wa mama ndo nimeisikia leo;