Hii ni hadithi ya kufikirika na wala haina mashiko kabisa. Hivi hao wazazi wamejuaje kuwa kijana wao ni hanithi??
Mtoto anapobalehe mama yake anajuaje kuwa kijana wake hasimamishi mpaka achukue uamuzi wa kumpeleka hospitalini???
Huyu kijana baada ya kubalehe alijaribu kufanya ngono na nani akagundua uume wake hausimami????
Hivi kweli mtu kama uume wake hausimami anaweza kupata ujasiri wa kuwaambi wazazi wake????
Ikiwa mwanaume kama ana tatizo kwenye uume wake hawezi hata kumwambia baba yake, anawezaje kumwambia mama yake??????
Achane kutuletea habari za uwongo humu ndani. Hizo imani za kusema sijui kitovu sijui nini ni imani za kishenzi tu na hazina ukweli wowote ule. Hakuna uhusiano wowote ule wa kitovu cha mtoto na viungo vyake vya uzazi. Inasikitisha sana kuona mpaka leo hii karne ya 21 bado kuna watu kama wewe manashikilia imani hizi za kipuuzi kabisa.