myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
mkuu,,ukimwamini Mungu saaan bila kufanya kazi utakula?Mila nyingi na desturi ni mpango wa adui kuabudu miungu haku a lolote !
Na hiki ni kifungo kikubwa sn!
Ndo maana kizazi cha ss kinapigika sbb wanekiuka /wamekataa kuabudu miungu kupitia hizo mila za kishenzi!
Kuna wengine wamepuuzia tu,kuna wengine qamwamua ku.geukia Mu gu wa kweli ndo maana wanapigwa!
Biblia imekataza na solution ipo kwa Mungu peke ake!
mkuu.,, ukimwamini Mungu saaan bila kusoma utaelimika?
Ya Mungu mpe Mungu, ya Kaisari...
