Nadhani umeamua kuzunguka mbuyu. Pole sana mkuu muombe mother mgusanishe kwa sababu ndiyo tiba pekee kwa hilo tatizo lako.Habari za mwanzo wa juma wanajamvi
Kuna tamaduni km sio mila japo sina uhakika km ni kwa makabila yote ama ni baadhi hususani kwa hapa TZ ya kwamba pindi mtoto anapozaliwa mzazi inabidi awe makini wakati kitovu kitakapoachia kisiangukie sehemu ya uume kwa mtoto wa kiume na kisiangukie sehem ya uke kwa mtoto wa kike endapo hilo litajitokeza kuna uwezekano mkubwa kwa mtoto wa kike asipate mtoto na kwa mtoto wa kiume nae asipate mtoto au hata atakapobaleh uume wake hautaweza kusimama.
Sasa kilichotokea ktk hii family historia inaonesha huyu mama mwanae wa kiume kitovu kiliangukia ktk sehem yake ya uume na ushauri aliokua anapewa ni achukue uume wa mwanae na kukutanisha na uke wake basi tatizo litakua limeisha.Ila kwa kipindi chote hicho mama alikua anaona ni kitu kisichowezeka na kupotezea kwa kua mtoto bado alikua mdogo.
Maisha yamesonga na mtoto amebalehe lakini kwa babu hamna maajabu yaani uume hausimami na mama mtu kahangaika sana kwa madaktari anàambiwa mtoto hana tatizo na akiangalia upande wa pili kwenye mambo ya kienyeji anaambiwa hakuna dawa zaidi ya kuchukua utupu wa mwanae na kukugusanisha na uke wake ikizingatiwa mwanae ameshakua na yeye mtoto ameanza kupata stories kwamba dawa ni afanye hilo tukio mama yake.Na mama MTU anajutia kwa dharau zake toka mtoto akiwa mdogo angeweza kufanya hilo na mambo yangeisha kimya kimya ila kwa sasa story zimezagaa kitaa na ikitokea mtoto akawa fresh bas kitaa kitajua kwamba bi mkubwa kashafanya yake na mtoto ndio ivo nae muda wote kakaa kinyonge.
Mdingi nae yupo haelewi afanye nini nimeuleta uzi kwenu wana JF nikiamini anaweza pata ushauri utakaomvusha ktk huu mtihani
Kama ndio tiba yake hanabudi afanye maana umenikumbusha kipindi najifungua nami niliambiwa hivyo na marafiki zangu shughuli Ilikuwa kumuogesha sasa yaani hizi imani wacha kabisa ndugu yanguInasemekana hauingizi kabisa ila kumuonesha papuchi mwanae wa kumzaa ndio mhh
Mm niliambiwa ndio Dawa yake yaani sitaki kukumbuka nilivyokuwa nailinda dudu ya mwanangu isiangukiwe na kitovu imani hizi acha tu ndugu yanguZamani walikuwa wanasema kitovu kikiangukia kweli inakuwa hivyo;
ila hii ya kukutanisha na uke wa mama ndo nimeisikia leo;
dunia ina mambo! mimi kuna anko wangu alikuwa na hili tatizo till the age of 40' ilivyogundulika likatatuliwa kifamilia. kwa dawa. ameoa mwaka juzi!Hizi issue kumbe zna ukwel duh
Atafute dawa ya usingizi kijana alale aende ajigusishe kama inawork!!Habari za mwanzo wa juma wanajamvi
Kuna tamaduni km sio mila japo sina uhakika km ni kwa makabila yote ama ni baadhi hususani kwa hapa TZ ya kwamba pindi mtoto anapozaliwa mzazi inabidi awe makini wakati kitovu kitakapoachia kisiangukie sehemu ya uume kwa mtoto wa kiume na kisiangukie sehem ya uke kwa mtoto wa kike endapo hilo litajitokeza kuna uwezekano mkubwa kwa mtoto wa kike asipate mtoto na kwa mtoto wa kiume nae asipate mtoto au hata atakapobaleh uume wake hautaweza kusimama.
Sasa kilichotokea ktk hii family historia inaonesha huyu mama mwanae wa kiume kitovu kiliangukia ktk sehem yake ya uume na ushauri aliokua anapewa ni achukue uume wa mwanae na kukutanisha na uke wake basi tatizo litakua limeisha.Ila kwa kipindi chote hicho mama alikua anaona ni kitu kisichowezeka na kupotezea kwa kua mtoto bado alikua mdogo.
Maisha yamesonga na mtoto amebalehe lakini kwa babu hamna maajabu yaani uume hausimami na mama mtu kahangaika sana kwa madaktari anàambiwa mtoto hana tatizo na akiangalia upande wa pili kwenye mambo ya kienyeji anaambiwa hakuna dawa zaidi ya kuchukua utupu wa mwanae na kukugusanisha na uke wake ikizingatiwa mwanae ameshakua na yeye mtoto ameanza kupata stories kwamba dawa ni afanye hilo tukio mama yake.Na mama MTU anajutia kwa dharau zake toka mtoto akiwa mdogo angeweza kufanya hilo na mambo yangeisha kimya kimya ila kwa sasa story zimezagaa kitaa na ikitokea mtoto akawa fresh bas kitaa kitajua kwamba bi mkubwa kashafanya yake na mtoto ndio ivo nae muda wote kakaa kinyonge.
Mdingi nae yupo haelewi afanye nini nimeuleta uzi kwenu wana JF nikiamini anaweza pata ushauri utakaomvusha ktk huu mtihani
Mkuu,punguza utani!Aupitishe tu kama ndio dawa..au wamesema aingize kabisa??