Afanyeje ili amnusuru mwanae asiwe hanithi?

Ha ha ha imenilazimu nicheke kwa sauti hadi watu wanishangae
 
Hakuna kitu km hicho!
Shetani mshenzi sn,anachotaka hapo ni kupandikiza zinaa miongoni mwa ndugu!

Aende kwa watumishi wa Mungu akafunguliwe tu,ni mambo ya mila ambazo adui anazitumia kupiga familia
 
Ati nini! Kijana achovye uchi wa mama yake si ndio laana hiyo ya kujitakia
 
Mtoto ana umri gani?
 
Hivi ile ishu ya kudondokea kitovu ni kweli kabisa miye siamini ?
 
Mmh...aisee inawezekana...!!
 
Hakuna kitu km hicho!
Shetani mshenzi sn,anachotaka hapo ni kupandikiza zinaa miongoni mwa ndugu!

Aende kwa watumishi wa Mungu akafunguliwe tu,ni mambo ya mila ambazo adui anazitumia kupiga familia
Maisha yako yotee Jua kuwa kuna milaa na desturi ambazo ukiend kinyume nazoo hakikaa yatakukuta majangaa...na solution yake pia ipo kwa baadhi ya mambo kama hili..!!
 
Ukweli huwa hivyo na mambo huwa shwari, tatizo jamii hii inajitia ujuaji na haina siri.
.... hapa watu wanaleta ushabiki mpaka basi, dawa zingine ziko kama mtu kuacha laana'' ni maneno tu lakini yana athari kubwa.
 
Maisha yako yotee Jua kuwa kuna milaa na desturi ambazo ukiend kinyume nazoo hakikaa yatakukuta majangaa...na solution yake pia ipo kwa baadhi ya mambo kama hili..!!
Mila nyingi na desturi ni mpango wa adui kuabudu miungu haku a lolote !
Na hiki ni kifungo kikubwa sn!
Ndo maana kizazi cha ss kinapigika sbb wanekiuka /wamekataa kuabudu miungu kupitia hizo mila za kishenzi!

Kuna wengine wamepuuzia tu,kuna wengine qamwamua ku.geukia Mu gu wa kweli ndo maana wanapigwa!
Biblia imekataza na solution ipo kwa Mungu peke ake!
 
Sikataii lakini bhasi kama.huamini ebuu ukizaa mwanao jaribu hilii jambo afuu utapata Jibu...!! Afuu ulete na mrejesho kama Mungu atatupa uhaii panapo majaliwa...
 
Hizo ni stori za kale za mababu na lengo lilikuwa ni kuwafanya kina mama kuwa makini na maendeleo ya watoto wao hasa eneo hilo la kitovuni ambapo sote tunajua madhara yake kama mama anakuwa sio mtu wa kujali.
Wao walishaishi maisha yao sasa itashangaza kwa dunia ya leo kama bado watu wataendelea kuamini mambo hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…