mtamaushi2
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 403
- 391
Au mama apewe dawa ya usingizi mtoto agusisheWampigee dawa ya usingizi huyo mtoto afuu mama akee agusanishee then akipona watawaambia watu kuwa walitibu hospital... huyo mama atafutee tu vidongee vya usingizi mbonaa vipopo agusanishee mpaka bhasiii...
Akisema mkapa ndo tunachukia...trump tunamsifia hatuna shida sisiHalafu Trump akisema afrika ni shithole tunapiga makelele utadhani tumedhulumiwa dhahabu tani kadhaa kumbe ni mambo yetu haya ya karne ya Tatu
mtoto wa kike huwa ana mboooo??????Ok vipi kwa mtot wakike itakuaje napo
Ha haaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeua nduguMKWEPA KODI unajua maana ya shithole? shithole maana yake ni MK4NDU na sio shimo la choo kama wanavyofasiri baadhi ya watu wasiojua ilmu ya tarjama (translation) sikushauri kumsupport TRUMP
Mtoto wakike itakuwa kinyume chake atagusishiwa dyudyu nadady yakeOk vipi kwa mtot wakike itakuaje napo
Lazima utakuwa unatokea Mtwara wewe. Vipi uji wa muhogo umekunywa leo?Habari za mwanzo wa juma wanajamvi
Kuna tamaduni km sio mila japo sina uhakika km ni kwa makabila yote ama ni baadhi hususani kwa hapa TZ ya kwamba pindi mtoto anapozaliwa mzazi inabidi awe makini wakati kitovu kitakapoachia kisiangukie sehemu ya uume kwa mtoto wa kiume na kisiangukie sehem ya uke kwa mtoto wa kike endapo hilo litajitokeza kuna uwezekano mkubwa kwa mtoto wa kike asipate mtoto na kwa mtoto wa kiume nae asipate mtoto au hata atakapobaleh uume wake hautaweza kusimama.
Sasa kilichotokea ktk hii family historia inaonesha huyu mama mwanae wa kiume kitovu kiliangukia ktk sehem yake ya uume na ushauri aliokua anapewa ni achukue uume wa mwanae na kukutanisha na uke wake basi tatizo litakua limeisha.Ila kwa kipindi chote hicho mama alikua anaona ni kitu kisichowezeka na kupotezea kwa kua mtoto bado alikua mdogo.
Maisha yamesonga na mtoto amebalehe lakini kwa babu hamna maajabu yaani uume hausimami na mama mtu kahangaika sana kwa madaktari anàambiwa mtoto hana tatizo na akiangalia upande wa pili kwenye mambo ya kienyeji anaambiwa hakuna dawa zaidi ya kuchukua utupu wa mwanae na kukugusanisha na uke wake ikizingatiwa mwanae ameshakua na yeye mtoto ameanza kupata stories kwamba dawa ni afanye hilo tukio mama yake.Na mama MTU anajutia kwa dharau zake toka mtoto akiwa mdogo angeweza kufanya hilo na mambo yangeisha kimya kimya ila kwa sasa story zimezagaa kitaa na ikitokea mtoto akawa fresh bas kitaa kitajua kwamba bi mkubwa kashafanya yake na mtoto ndio ivo nae muda wote kakaa kinyonge.
Mdingi nae yupo haelewi afanye nini nimeuleta uzi kwenu wana JF nikiamini anaweza pata ushauri utakaomvusha ktk huu mtihani
Unapotafuta tiba kuna wakati unajifanya ni kichaa. Majirani wapo wanakucheka, je wamemsaidia kwa lolote zaidi ya kumcheka na kumdharau?Habari za mwanzo wa juma wanajamvi
Kuna tamaduni km sio mila japo sina uhakika km ni kwa makabila yote ama ni baadhi hususani kwa hapa TZ ya kwamba pindi mtoto anapozaliwa mzazi inabidi awe makini wakati kitovu kitakapoachia kisiangukie sehemu ya uume kwa mtoto wa kiume na kisiangukie sehem ya uke kwa mtoto wa kike endapo hilo litajitokeza kuna uwezekano mkubwa kwa mtoto wa kike asipate mtoto na kwa mtoto wa kiume nae asipate mtoto au hata atakapobaleh uume wake hautaweza kusimama.
Sasa kilichotokea ktk hii family historia inaonesha huyu mama mwanae wa kiume kitovu kiliangukia ktk sehem yake ya uume na ushauri aliokua anapewa ni achukue uume wa mwanae na kukutanisha na uke wake basi tatizo litakua limeisha.Ila kwa kipindi chote hicho mama alikua anaona ni kitu kisichowezeka na kupotezea kwa kua mtoto bado alikua mdogo.
Maisha yamesonga na mtoto amebalehe lakini kwa babu hamna maajabu yaani uume hausimami na mama mtu kahangaika sana kwa madaktari anàambiwa mtoto hana tatizo na akiangalia upande wa pili kwenye mambo ya kienyeji anaambiwa hakuna dawa zaidi ya kuchukua utupu wa mwanae na kukugusanisha na uke wake ikizingatiwa mwanae ameshakua na yeye mtoto ameanza kupata stories kwamba dawa ni afanye hilo tukio mama yake.Na mama MTU anajutia kwa dharau zake toka mtoto akiwa mdogo angeweza kufanya hilo na mambo yangeisha kimya kimya ila kwa sasa story zimezagaa kitaa na ikitokea mtoto akawa fresh bas kitaa kitajua kwamba bi mkubwa kashafanya yake na mtoto ndio ivo nae muda wote kakaa kinyonge.
Mdingi nae yupo haelewi afanye nini nimeuleta uzi kwenu wana JF nikiamini anaweza pata ushauri utakaomvusha ktk huu mtihani
Mkuu hakuna hadithi ktk hili hili ni tukio la kweliHii ni hadithi ya kufikirika na wala haina mashiko kabisa. Hivi hao wazazi wamejuaje kuwa kijana wao ni hanithi??
Mtoto anapobalehe mama yake anajuaje kuwa kijana wake hasimamishi mpaka achukue uamuzi wa kumpeleka hospitalini???
Huyu kijana baada ya kubalehe alijaribu kufanya ngono na nani akagundua uume wake hausimami????
Hivi kweli mtu kama uume wake hausimami anaweza kupata ujasiri wa kuwaambi wazazi wake????
Ikiwa mwanaume kama ana tatizo kwenye uume wake hawezi hata kumwambia baba yake, anawezaje kumwambia mama yake??????
Achane kutuletea habari za uwongo humu ndani. Hizo imani za kusema sijui kitovu sijui nini ni imani za kishenzi tu na hazina ukweli wowote ule. Hakuna uhusiano wowote ule wa kitovu cha mtoto na viungo vyake vya uzazi. Inasikitisha sana kuona mpaka leo hii karne ya 21 bado kuna watu kama wewe manashikilia imani hizi za kipuuzi kabisa.
Hahahaha ni aibu kubwaHalafu Trump akisema afrika ni shithole tunapiga makelele utadhani tumedhulumiwa dhahabu tani kadhaa kumbe ni mambo yetu haya ya karne ya Tatu
Unaweza nipa ABC nini hutokea kinapoangukia kweny dushe? Kuna nguvu gani?Mhhhhhh hivi ni kweli??? Japo siamini ila.huwa niko makini kweli kuangalia kitovu kikikauka kisije angukia hapo kwa babu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Lazima utakuwa unatokea Mtwara wewe. Vipi uji wa muhogo umekunywa leo?