Afanya mapenzi na nguruwe

Huyo jamaa akizuiliwa hako kamchezo atajinyonga, maana wahehe kwa kujinyonga balaa
 
Sidhani kama alikuwa akifanya mapenzi na Nguruwe! labda alikuwa akimlazimisha Nguruwe kufanya nae mapenzi.

Actually, tunasema alikuwa anamwingilia nguruwe waitu, ukisema anafanya mapenzi ina maana na nguruwe alikuwa anamgambila I love you huyu gentleman, kwa language ya nguruwe of course
 
Na huko Kilimanjaro kwa mujibu wa vyombo vya habari leo kuna jamaa amekamatwa akitenda tendo kama hilo na MBUZI. Jamani imeandikwa alaaniwe yule afanyae ngono na wanayama.
 
Hilo si jambo la ajabu kwa jamii ya wafugaji, kama umewahi kuishi au unatoka katika jamii kubwa za wafugaji kama wasukuma na umewahi kujishughulisha na kazi ya kuchunga mifugo huwezi kushangaa kwani hayo ndio maisha yao.

Usitake nicheke mie! JKT Mafinga ukipewa post ya kuchunga mbuzi wale maafande walikuwa wanasema "hakikisha hawa mbuzi vigoli wanarudi na bikira zao, usifanye mchezo mbaya huko".

Kuna jamaa nilisoma nae wa kutoka kanda ya ziwa yeye alikuwa anasema kabisa bila kuficha, kwamba wakiwa wadogo kwenye kuchunga mbuzi walikuwa wakiwananihii ile mbaya, basi tunaishia kucheka sana tu!
 
Kwa mujibu wa redio ebony ya hapa iringa kuna jamaa alifumaniwa kwa kufanya mapenzi na nguruwe katika kijiji cha itunundu pawaga,iringa.alipokamatwa alikiri huwa ulikuwa mchezo wake wa muda mrefu.hii jamii yetu inakwenda wapi sasa?[/QUOT

Huo ni ushirikina tu, haiwezekana nyumba ndogo iwe nguruwe au mnyama wa aina yoyote. Tunakoelekea Mungu wetu atende miujiza.
 
Back
Top Bottom