Sidhani kama alikuwa akifanya mapenzi na Nguruwe! labda alikuwa akimlazimisha Nguruwe kufanya nae mapenzi.
Hilo si jambo la ajabu kwa jamii ya wafugaji, kama umewahi kuishi au unatoka katika jamii kubwa za wafugaji kama wasukuma na umewahi kujishughulisha na kazi ya kuchunga mifugo huwezi kushangaa kwani hayo ndio maisha yao.
Huyo nguruwe anakata kiuno ?
Kwa mujibu wa redio ebony ya hapa iringa kuna jamaa alifumaniwa kwa kufanya mapenzi na nguruwe katika kijiji cha itunundu pawaga,iringa.alipokamatwa alikiri huwa ulikuwa mchezo wake wa muda mrefu.hii jamii yetu inakwenda wapi sasa?[/QUOT
Huo ni ushirikina tu, haiwezekana nyumba ndogo iwe nguruwe au mnyama wa aina yoyote. Tunakoelekea Mungu wetu atende miujiza.