Afande Usinikamate ntakupa buku shingtano

Afande Usinikamate ntakupa buku shingtano

Ebwana eeh

Natisha eeh? Nakuzingua.

Title ya thread ni kiitikio cha wimbo unaitwa Sumu ya Teja uliimbwa na Vitalis Maembe.

Mimi hapo nimeandika verse yote ya pili ya huo wimbo.
Nikiingia Google naipata?
 
Aachane na 'make-up' na mawigi ya wabrazil aone balaa lake. ha ha haaa!
 
ila asilimia kubwa ya mademu wazurii mashine mbovu,unaweza kutana na demu anasura ngumu hivi ila mashine kinandaa balaaa.
 
Bongo sijui tunafeli wapi, maaskari wetu utadhani wana dozi ya kunywa maji ya betri deile


Aaaaah, Sumu ya Teja, sumu ya teja Ukonga Segereaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom