Huyu hata akinipiga risasi ntakausha tu.View attachment 812344
Afande nihurumie..
Hahahaa tight security..Huyu hata akinipiga risasi ntakausha tu.
Sio kukausha Bali kukauka kabisaHuyu hata akinipiga risasi ntakausha tu.
Kweli jombaa. Huyo akifyatua risasi tu, naipokea na kifua kama Maradona. 😀😀😀 Hata kama hayakuwa yananihusu! [emoji38]Sio kukausha Bali kukauka kabisa
Kudaadeiki akupige jeki!!View attachment 812764 With love from cape town,Afande nshike kibindo ntembelee kucha
Noma mkuu,Mtuache tu mother city.Kudaadeiki akupige jeki!!
Noma mkuu,Mtuache tu mother city.Kudaadeiki akupige jeki!!
Oya hii umetunga mwenyewe? Kama mtunzi ni wewe unakipaji aisee! Ila nimecheka na nacheka huku naandika.Masela wakanambia, wakanambia..
Masela wangu wakanambia, wakanambia...
Aah kubali kesi ukale nsima.. Mwana wa mbonde kaenda karudi mnene..
Kubali kesi ukale ugali wee mtoto wa Mbonde kaenda karudi mnene
Utakula bure, utalala bure..
Kilago bure sakafu bure..
Vipele bure, ukurutu bure..
Ukuta upo utashika bure aah
Aaah sumu ya teja sumu ya teja segerea...
Sumu ya teja sumu ya teja segerea
Ebwana eehOya hii umetunga mwenyewe? Kama mtunzi ni wewe unakipaji aisee! Ila nimecheka na nacheka huku naandika.