Afande Sele: Nitapambana na Abood

Sugu na Lema wamefanya Ubunge Tanzania umekuwa kitu rahisi sana.
 
We acha kuongea kitahahira.na uzuri uwezi kuwachagulia watu mbunge au kiongozi.huyo huyo Sugu wana mbeya uwaambii kitu.Pole maana roho itakuuma sana juu ya Mnyika,Sugu,Lema.hawaja soma sana sawa lakini PILIKA ZAO MITAANI ZIMEWAFIKISHA MNJENGONI.maisha yao yapo MIKONONI mwa MUNGU wakati unawawazia mabaya MUNGU anawawazia MEMA.
 
Sina hakika kama watu wa morogolo wanaweza wakafanya ujinga wa kumchagua mtu ambaye hamnazo,ATAENDA KUVUO NGUO NGUO BUNGENI HUYO OOHHH,si mmemuona yule anamiaka chini ya kumi na 8 alivyo fanya!hiyo ndio jamii ya wabunge tunaowataka wana M4c
 
Sugu na Lema wamefanya Ubunge Tanzania umekuwa kitu rahisi sana.
Hata Baba yako JK mr DHAIFU kaifanya TANZANIA kuwa nchi ya kupita na kupatikana madawa ya kulevya kirahisi mno.Muda wa baba yako ukipita nenda ukakamatwe tena china na madawa uone.na laana ya kuwaharibu vijana kwa madawa utaibeba tu na ipo siku Mungu atakulipa sawasawa na matendo yako.
 
He he he he, si unajua tukiwa gwandani we become saints.
Hapo ameshavaa

umenena kweli, yani hata mwendawazimu leo akiingia cdm anapona na kuwa kamanda, cdm hawaishi vituko. Wanataka wabunge bora au bora wabunge?
 
Alivyo vua suruali jukwaani kila mtu alimuona mhuni na mvuta bangi leo hii kajiunga Chadema anaonekana anafaa. Kweli unafika hulka yetu...
 

We K.m. mara yako ya mwisho kufika mbeya ni lini? unaweza ukaifananisha mbeya ya enzi ya ccm na mbeya ya chini ya sugu? au ndo unabwabwaja domo kama mnywa viroba?
mwigulu, komba, mlugo, wasira, na hao waume zako wengine wa ccm wamefanya lipi jipya kwenye majimbo yao since uhuru?
 
Sugu na Lema wamefanya Ubunge Tanzania umekuwa kitu rahisi sana.

kama jk alivyoufanya urais kitu rahisi sana hadi mwigulu nchemba, nchimbi, mlugo, maji marefu nao kuwania urais
 
Huyu amepona ugonjwa wa kuvua nguo?naona hata machizi wanautaka ubunge
 

Panakufaa wewe!!!!
 
Romania kama sikosei wana mbunge kwenye EU ni mkali mno na alikuwa muuza mwili wake sasa sijui unasemaje ?Yeye anakula ganja unajua kuna watu wana baka , wanauza unga nk nasemaje juu ya hao ?

umesema alikuwa. Sasa afande yeye bado anavuta tena anatembea na misokoto kwenye gari. Kama ni mbunge wa wavutaganja hapo sawa. Kabla ya kutangaza nia. Atangaze kwanza kuacha bangi hapo tutamwelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…