Tanzaniaist
Senior Member
- Nov 29, 2011
- 161
- 158
ni kweli but 2015 kura za maoni cdm patachimbika kwani kuna kichwa hapa moro kiligombea kuipitia cdm kinaitwa aman mwaipaja kni mwansheria kitaaluma na hoja sana kama zitto au mnyika.
afande sele alisema atagombea kupitia CUF,yeye mwenyewe kwa kinywa chake tukiwa wote sinza,nilipo muuliza why not cdm alisema toa kisingizio cha udini,na nilipo fatilia zaid nikagundua chadema alipaogopa kwakua moro wana kichwa kipiga sheria ameona hata weza kupita kwenye kula za maon
Kama ni wasanii basi iko siku nitaskia pia Kingwendu anagombea kwa CCM
Jamani kila chama kina taratibu zake!
Tumesikiliza mahojiano ya Afande Selemani Msindi live na alisema yafuatayo:-
- Bado hajaamua ni Chama gani, ila haitakluwa CCM
- Kwamba kuna vyama vingi vimewasiliana naye kutaka ajiunge navyo, ila haklupenda kuvitaja lakini amesema ni vikubwa tu
- Kwamba chama kitakachoweza kumridhisha kwa sera na kitakachoweza kumuandaa vema ndiyo atajiunga nacho
mkuu hacha ubishi ww! Afande sele ni CHADEMA na kama unabisha basi sikiliza huu wimbo mpya aloutoa na huyu Bonta mwanachadema wa shinyanga ndio utaamini ninachokisema.
Huyu si ni mtoto Sugu kimuziki? Like father like son, lazima na yeye awe CDM tu, also nafikiri Afande ni under 40yrs, hiki kizazi ni cha mageuzi tu, ukiona yupo magamba ujue iko namna!
Huyu labda aanzishe chama chake lakini sio mbunge wa CHADEMA!
Jaman Afande Sele mchafu hadi anatisha...ivi huwa anaoga kweli uyu baba??