Afande Saba Sita vs Jambazi Banjoo

Afande Saba Sita vs Jambazi Banjoo

Siku za mwanadamu zinahesabika!
Kweli kabisa! Maana ameshajiandalia tayari kaburi la kisasa kabisa. Bado tu kununua sanda, msalaba na jeneza. Na baada ya hapo nadhani ataomba sasa Izrael aichukue roho yake.
 
Ukifanya jambo lolote la kumuumiza mtu,damu yake haiendi patupu,nakumbuka kuna askari mmoja tangu afe sasa yapata miaka 8,kifo chake kiliwashangaza watu wengi sana,ile anastaafu tu kajenga nyumba yake ilikuwa mwishoni kukamilika,msumari ukamchuna tu kidogo ndio kikwa chanzo,kikaanza kukatwa kidole,hajakaa sawa wakakata kiwiko cha mguu,hajakaa sawa kidogo mguu ukakatwa mpaka ikafikia kwenye maungio ya mguu yaani ilikuwa ni mateso kwake yule baba........kumbe chanzo histoiria inaonyesha kuna mtu aligongwa na gari na yule aliyemgonga alikuwa na hela so polisi wakabadilisha matokeo ikaonekana yule aliyegongwa ndio mwenye makosa ili kesi iwe nyepesi,yule aliyegongwa siku anapata taarifa iyo akaenda hadi kwake kwani alikuwa anakaa kambini,akamwambia mzee najua yule jamaa kanigonga ila mnasema mie ndio mwenye kosa basi namuachia Mungu atanilipia hii haki yangu....kwaiyo kuna kazi nyingine ukizifanya kuuma ama dhuluma inakuwa rahisi sana ambapo vitu ivyi havipoteagi burebure kwa wale uwauao ama uwadhulumiao
 
Damu za watu ni nzito Sana...
Huwa nashauri sana watu usijaribu kumwaga damu ya mtu..
Huyu jamaa miaka ya 90 pale Arusha aliumiza sana watu...
Usifikiri huyo askari anapata usingizi.. There is a KARMA.. Wanasema malipo ni hapa hapa Duniani..
Damu za watu zinamuita
 
Kutokana na wasifu wao humu jamvini inaonekana ni watu watata sana kama kina Wily Gamba au Joram Kiango! Hivi huyu afande 7 6 anaweza kumshughulikia huyo Banjoo ambaye huko Arusha anaonekana mbabe na untouchable?
Huyu jamaa kumbe yuko kitambo sana
 
Back
Top Bottom