Afande Saba Sita vs Jambazi Banjoo

Afande Saba Sita vs Jambazi Banjoo

Mrembo umepotea sana, mara ya mwisho nilikutana nae moshi, akaniambia yupo moshi, sijui bado yupo ama vipi.

Nipo my dear, nimemsoma Sabasita hapa nikakukumbuka lol labda kwa sasa yuko Moro naona makeke yatakuwa yameisha.
 
Siku hizi yuko Morogoro kitambi kimeondoa ukakamavu wote.Unakumbuka sakata la Dr Mwakyembe kutishiwa maisha saba sita alitajwa tajwa sana unajua anapenda deals sana.


Yap! Umesomeka Kamanda wangu Ngongo
 
Last edited by a moderator:
natamani siku htyo afande 7,6 aongoze msako wa kumkamata mnyama banjoo!

Kwani kahamishiwa Arusha? Baada ya kuongoza ujambazi na unyang'anyi wa kila aina kwa mgongo wa kikosi cha anti robbery Morogoro pale si nilisikia kahamishiwa chuo cha polisi moshi? Japo pia hupati picha, askari mwenye hulka za uhalifu anapelekwaje chuoni tena kupika wanafunzi/askari wapya?
 
Siku hizi yuko Morogoro kitambi kimeondoa ukakamavu wote.Unakumbuka sakata la Dr Mwakyembe kutishiwa maisha saba sita alitajwa tajwa sana unajua anapenda deals sana.

Acheni kutuletea uwongo bhana vipi? 7 6 yupo Rorya Morogoro alihama tokea mwaka jana..
 
Iv uyu 7 6 ndo mwanae ana jiachia na yang d (tunda)

Ndio yeye..


official_tunda_2015-10-25_21-15-34_zpsvvorbl1g.jpg


Hapa katika pozi anataka kufanana na Le mutuz..shati kubwa,miwani kubwa..radio Call tu ndo imemtofautisha na lemutuz

official_tunda_2015-04-30_20-18-48_zpscm82vdig.jpg


IMG_20151118_102238.jpg
 
Nakumbuka enzi zake Sheik Amri Abei alikuwa akizunguka uwanja mara kumi hadi mpira umalizike ameshapiga salute mara 100.
 
Back
Top Bottom