marveljt
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 1,503
- 1,479
Hivi bado yuko arusha?Unamzungumzia Malisa trafic ha ha ha jamaa anachukua mpaka 500 !.
Hivi bado yuko arusha?Unamzungumzia Malisa trafic ha ha ha jamaa anachukua mpaka 500 !.
Hiace zipi? Labda ile mikweche ya sanawari ya juu!labda kwa madereva wa hiace..
Kwahiyo huyo Tunda anaitwa Tunda Sabasita?Ndiooooo....
HakikaSiku za mwanadamu zinahesabika!
Saba SITA ajiandalia kaburi la kuzikwaView attachment 2091102
Na kaburi ameshajijengea. Ila watu wenye sifa mbaya kwa jamii huwa wanaishi miaka mingi sana mara nyingiSiku za mwanadamu zinahesabika!
Ya mateso na majuto.Na kaburi ameshajijengea. Ila watu wenye sifa mbaya kwa jamii huwa wanaishi miaka mingi sana mara nyingi
Naomba Mungu asiwasaidie hamna watu wa hovyo kama polisi...ajichimbie Kaburi au ajinyonge ni Jambo zuri sana!!Hii habari ukiiangalia kijuujuu unaweza kuichukulia poa,lakini kwa maisha ya hawa jamaa ukute hapo KARMA inamsumbua.
May be ROHO za watu ama dhurma, ila mwenyewe ndo anajua mambo yapi anakumbana nayo..
Nb: Maaskari polisi wengi wanamaliza maisha yao vibaya sana,tena kwa maumivu sana..
MUNGU awasaidie.
Sahihi kabisa alikuwa na mbwembwe sana, alikuwa anatembea na kirungu, pingu, pistol na vikorokoro vingine, wakati wa mechi za ligi kuu Mkoa wa Arusha ukiwa na timu ya Ndovu alikuwa anazuguka uwanja mzima wa Sheikh Amri Abeid kudhibiti mashabiki waliokuwa wanaruka ukuta. Sasa hivi yuko Mkoa wa Manyara Ofisi ya RPC kama Staff Officer, nimeshangaa kumuona mtandaoni akiwa amejiandalia kaburi lake huko Moshi. Ni habari zinazotrend mtandaoni kwa sasa.Nakumbuka enzi zake Sheik Amri Abei alikuwa akizunguka uwanja mara kumi hadi mpira umalizike ameshapiga salute mara 100.