olele
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 1,305
- 1,577
baada ya mwalimu wa sunday school kufundisha kuhusu adam na eva jinsi walivyodanganywa nyoka na hatimaye kula tunda walilokatazwa,na madhara ambayo wanadamu wanayapata mpaka leo kwa sababu ya kosa hilo, jeni kwa huzuni akamwambia mwalimu wake "ni anfadhali adam na eva wangekuwa wachina" mwalimu na wanafunzi wengine wakashangaa na kumuuliza kwa nini? akasema " kama wangekuwa wachina wenyewe wangemla huyo nyoka aliyekuja kuwadanganya"