Afadhali NYUMA,MBELE hapafai...

Afadhali NYUMA,MBELE hapafai...

:biggrin1: inaonyesha jinsi gani akili zetu chafu maana mh wengine tulizania mengine
 
'Difenda' lililopaki hapa mbele ya Kituo Kidogo cha Polisi,Mlimani-UDSM limechoka. Mbele,kwa Dereva na maofisa wengine,pako nyang'anyang'a. Viti vyote vimeharibika. Afadhali hata nyuma kwake kunavutia. Polisi mnatia aibu. Tumikieni wadhalimu wa CCM na mjijali. Aibu kweli..
we jamaa uko creative sana aisee bigup 4dat
 
Kwa maana nyingine bora miaka ya nyuma lkn miaka hii ya mbele mambo yanazidi kua hovyoo!
 
Kama huna mpango wa kuzaa aisee, afadhali nyuma.
 
shigongo akisoma hii atakuchukua jembe ukawe mhariri kwenye gazeti lake la ijumaa wikienda
 
Back
Top Bottom