Afadhali NYUMA,MBELE hapafai...

Afadhali NYUMA,MBELE hapafai...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
'Difenda' lililopaki hapa mbele ya Kituo Kidogo cha Polisi,Mlimani-UDSM limechoka. Mbele,kwa Dereva na maofisa wengine,pako nyang'anyang'a. Viti vyote vimeharibika. Afadhali hata nyuma kwake kunavutia. Polisi mnatia aibu. Tumikieni wadhalimu wa CCM na mjijali. Aibu kweli..
 
man! you are confusing us.i thought.....................................................
Ts tru,though.
 
Nimekuja speed zote nikijua thread ina mambo mazuri kumbe............. ARGGGGGGGGGGGGHHHHHH umeniharibia siku mkuu ngoja nkapate moja moto niweke akili sawa.............
 
Nimekuja speed zote nikijua thread ina mambo mazuri kumbe............. ARGGGGGGGGGGGGHHHHHH umeniharibia siku mkuu ngoja nkapate moja moto niweke akili sawa.............
mambo gani mazuri uliyoyategemea ??
 
'Difenda' lililopaki hapa mbele ya Kituo Kidogo cha Polisi,Mlimani-UDSM limechoka. Mbele,kwa Dereva na maofisa wengine,pako nyang'anyang'a. Viti vyote vimeharibika. Afadhali hata nyuma kwake kunavutia. Polisi mnatia aibu. Tumikieni wadhalimu wa CCM na mjijali. Aibu kweli..

hahaaaa hii kweli vuta nikuvute! usishangae mapolisi wengi wanapenda mbele sana nyuma ni kwa wahalifu! yaani hata raia pia wengi wamezoea mbele sana nyuma ni wachache wanaojitoa muhanga ndi maana nyuma huwa kuna afadhali kuliko mbele
 
Wewe utanisaidia kuuza magazeti yangu yasiofanya vizuri sokoni ! Maheading mazuri kama "Rais afumaniwa!"
ukifungua - Rais wa chama cha ngumi ......
 
Back
Top Bottom