Advanced Physics na Advanced Chemistry tunayo soma form five na six ndio inayosomwa U.S, China na mataifa mengine duniani.

K
Elimu tunayo soma Advance kwenye masomo ya sayansi (Physics na Chemistry) kama ingekua na practical za kwenye vile vitabu tungeendelea sana kiteknolojia.kwa ile

Habari za Leo wakuu,

Kumbe Advanced Physics na Advanced Chemistry tunayosoma form five na six ndio hiyo hiyo inayosomwa U.S, China, Ufaransa na mataifa mengine.

Tofauti ni moja tu sisi hutufanyi practical za tunacho kisoma. Ila hesabu, na maelezo yote ni yaleyale. Principal ni zile zile.

Na tatizo hili linatokana na ukosefu wa vifaa vya kufanyia hizo practical.

Basi mimi ningeshauri tuanzishe kampeni ya uchangishaji wa fedha za kununulia vifaa vya maabara za shule zetu za Advance kwa somo la physics na chemistry.

Tuhakikishe practical zote za kwenye vitabu vya CHAND zinafanywa na wanafunzi wetu.

Alafu tusikilizie baada ya miaka mitano mtakuja kunipa mrejesho.

Elimu tunayo soma Advance kwenye masomo ya sayansi (Physics na Chemistry) kama ingekua na practical za kwenye vile vitabu tungeendelea sana kiteknolojia.

REJEA HIVI VITABU
CHAND XI ADVANCED PHYSICS
CHAND XII ADVANCED PHYSICS
CHAND XI ADVANCED CHEMISTRY
CHAND XII ADVANCED CHEMISTRY
N. K
Vitabu vingine wataviorodhesha wachangiaji.
An nchi isingekua ya hovyo ngesoma physics pekee chuo
 
Principal au Principle? Kilaza wewe!
 
Kwahiyo ulidhani nje wanasoma physics nyingine? Kwamba gravitational force wanayosoma wao sio sawa na 9.807 m/s² au?

Kila unachosoma kimetoka kwao so it's a no brainer tunachosoma ndo wanachosoma.
mkuu
 
Ungesema waanzie wasome coding na digital electronics tangu advance ningekuelewa.

Mnafika chuo ndio mnaona computers
 
pole sana na wewe umeingia kwenye ukilaza huo huo. kwa taarifa yako neno principal linahusiana na mtu ambaye ni mkuu wa taasisi fulani, lakini principle ni sheria au kanuni fulani za nadharia ( theory). Nawe umetumbukia mtego huo huo, kenge wewe, kubali kusahihishwa na siyo kuleta utumbo hapa.
Mkuu kujidai unakijua kiingereza ila umeshindwa kuelewa kilichoelezwa na mtoa mada.
 
pole sana na wewe umeingia kwenye ukilaza huo huo. kwa taarifa yako neno principal linahusiana na mtu ambaye ni mkuu wa taasisi fulani, lakini principle ni sheria au kanuni fulani za nadharia ( theory). Nawe umetumbukia mtego huo huo, kenge wewe, kubali kusahihishwa na siyo kuleta utumbo hapa.
Sasa unanitukana mimi au mtoa mada mkuu. Unakuja kumalizia mihasila yako humu kwanini usitukane ndugu zako huko. Usituambukize mistress yako humu sisi. Mfyuuuuuuuuu😜😜😜😜😜😜
 
Sisi tulisolve mpaka UP university physics, na ndio kitabu chake mwalimu wetu pale Kibaha Secondary Mr. Mgina
 
Back
Top Bottom