technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,553
- 57,843
Naona Kuna wapumbavu wameanza kupotosha
Gwajima ameanza kupewa kesi za madawa na Magufuli lakini alishinda.
Na Magufuli mpaka akampa ubunge!!
Kuna wajinga wanasema Gwajima mbona anajitokeza Sasa kwa sababu Samia ni muislamu
Hawa naweza waita wajinga
Gwajima hajawai kunyamazia uhuni wa CCM toka mwaka 2015
Adui yetu ni CCM sio Uislamu
Kujificha kwenye udini ni udhaifu mkubwa wa kushindwa kujibu hoja.
Kibao anatetewa na Gwajima sio kwamba ni muislamu Bali ni Mtanzania
Watanzania wanatekwa
Yaani tuache kutetea Watanzania twende kutetea waparestina?
Hivi Hawa wanapinga hoja za utekaji Wana ajenda gani na Tanzania?