Unaambiwa jamii kubwa ya Watanzania ni wajinga, wanashabikia vitu via kipuuzi tu kuliko vya maana na ndipo hapa CCM inapopenda. Magufuli alijitahidi sana kutaka kufuta huu ujinga ila watu walimshangaa kwanini anawaamsha Watanzania waliolala, viongozi wataibaje hela bila kunyoshewa vidole na wananchi na ndiyo maana unamuona Mama anapambana sana kuboreha michezo nchini na kuwapa vijana wa bongo fleva, bongo movie, machawa vipaumbele ili tu wananchi waendelee kuwafuatilia wao na kusahau mambo ya msingi maishani.