Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 9,324
- 15,005
Tutafurahi sana ikiwa hivo...dini kwetu sio shida...wanatufanyia nini.?
inategemea uko upande gani, kwani hakuna uvugu vugu, wavugu vugu will suffer the most …
Tutafurahi sana ikiwa hivo...dini kwetu sio shida...wanatufanyia nini.?
Bora bao lako baba yako angepiga nyetoSasa kama adui yenu ni CCM, kwa nini mnataka kugeuza misikiti kuwa Sunday School? Au mnataka kusema Uislamu ndio CCM?
Umekurupuka kuandika, havieleweki.
Nimecheka sana . umemaliza mkuuNakubaliana nawe moja kwa moja, anglia mikoa inayoendekeza Uislam hapa Tanzania ilivyo gizani, watu kusoma hawataki eti ni haram ila anashinda vjiweni na msikitini kupiga story siku nzima na kuteta wanaume wenzao waendao makazini, ni akili kweli hii?
Hayo madini ni ya kwenu nyie washamba mkuu,mimi sina hizo...utamaduni wa kizungu ama kiarabu..nimeupiga kidole cha matakoinategemea uko upande gani, kwani hakuna uvugu vugu, wavugu vugu will suffer the most …
Hayo madini ni ya kwenu nyie washamba mkuu,mimi sina hizo...utamaduni wa kizungu ama kiarabu..nimeupiga kidole cha matako
Kama hamtaniteka ,sijali kwamba najua ama sijui...ni spana tuu mpaka wahuni mkae sawalkn haitakuokoa, wajuaji au wanaojiona wanajua ndiyo victims namba moja, kwani haujui hata kinachoendelea …
Wewe utakuwa na mtindio wa ubongo si bure.Sasa kama adui yenu ni CCM, kwa nini mnataka kugeuza misikiti kuwa Sunday School? Au mnataka kusema Uislamu ndio CCM?
Umekurupuka kuandika, havieleweki.
Kama hamtaniteka ,sijali kwamba najua ama sijui...ni spana tuu mpaka wahuni mkae sawa
Yaani usibishane na muislam, mwache tu aropoke mwishowe atajimaliza mwenyewe kama wafanyavyo wanaojilipua na kwenda motoni na kukuta wale mabikra 72 waliodanganywa na Muddy kumbe ni hadith tu, hamna lolote. Kusoma raha sana.Nimecheka sana . umemaliza mkuu
Wachonganishi hao, hata hivyo..tawala za kiislamu zinakuwa na shida sana sijui tatizo ni Nini?! Ukifuatilia utagundua ..tangu awamu ya kwanza Hadi sasa
Mimi ni muislam,lakini na support anachokipigania gwajima,yes anaweza akawa na chuki na waislam lakini kwenye hili tum support....waache kwanza kuteka na kuua watu kama kuku then tutarudi kwenye vita na yeye kwa nn ageuze msikiti uwe Sunday school
Mleta muda unaona chuki za wagalatiya kwa uislamu ndani ya thread yako?
Gwajima ni Imanu Rashidi ana Msikiti wake pale Salasala kwa General Mbowe 😂Na sisi adui yetu siyo wakristo,ni yoyote anaechezea amani kama askofu uchwara Gwajima,kama mnaona amefungiwa kisa ni mkristo hiyo ni juu YENU
Naona Kuna wapumbavu wameanza kupotosha
Gwajima ameanza kupewa kesi za madawa na Magufuli lakini alishinda.
Na Magufuli mpaka akampa ubunge!!
Kuna wajinga wanasema Gwajima mbona anajitokeza Sasa kwa sababu Samia ni muislamu
Hawa naweza waita wajinga
Gwajima hajawai kunyamazia uhuni wa CCM toka mwaka 2015
Adui yetu ni CCM sio Uislamu
Kujificha kwenye udini ni udhaifu mkubwa wa kushindwa kujibu hoja.
Kibao anatetewa na Gwajima sio kwamba ni muislamu Bali ni Mtanzania
Watanzania wanatekwa
Yaani tuache kutetea Watanzania twende kutetea waparestina?
Hivi Hawa wanapinga hoja za utekaji Wana ajenda gani na Tanzania?