@ W'S EXPERIENCE: Tatizo moja kubwa Tanzania ni UMASIKINI, we are too poor kuweza ku-deal seriously na matatizo mengine, Umasikini huanzia kwenye mali na ukiwa un checked huamia kwenye akili, masikini mmoja hawezi kumsaidia masikini mwingine kutoka kwenye umasikini waliomo, na kama Serikali haikuwasaidia kutoka kwenye ule umasikini, watailazimisha Serikali nayo kuwa masikini kama wao, so serikali yetu masikini hatukuipata kwa bahati mbaya!!
Willie! @ Facebook!!!
umaskini tumeshamzoea sana hadi ameshakuwa rafiki yetu wa karibu mno.@ W'S EXPERIENCE: Tatizo moja kubwa Tanzania ni UMASIKINI, we are too poor kuweza ku-deal seriously na matatizo mengine, Umasikini huanzia kwenye mali na ukiwa un checked huamia kwenye akili, masikini mmoja hawezi kumsaidia masikini mwingine kutoka kwenye umasikini waliomo, na kama Serikali haikuwasaidia kutoka kwenye ule umasikini, watailazimisha Serikali nayo kuwa masikini kama wao, so serikali yetu masikini hatukuipata kwa bahati mbaya!!
Willie! @ Facebook!!!
- Unajua through my research nimegundua kwamba Tanzania ni nchi ya kwanza Duniani, ambayo wananchi wake wana majumba makubwa ya kifahari lakini hayakujengwa kwa mikopo toka benki, ha! ha! ha! ha! yaani it is incredible!!
Willie!
umasikini waliomo, na kama Serikali haikuwasaidia kutoka kwenye ule umasikini, watailazimisha Serikali nayo kuwa masikini kama wao, so serikali yetu masikini hatukuipata kwa bahati mbaya!!@ W'S EXPERIENCE: Tatizo moja kubwa Tanzania ni UMASIKINI, we are too poor kuweza ku-deal seriously na matatizo mengine, Umasikini huanzia kwenye mali na ukiwa un checked huamia kwenye akili, masikini mmoja hawezi kumsaidia masikini mwingine kutoka kwenye
Willie! @ Facebook!!!