Naweza kukubali ni one way kwamba 'Tumeishi kwenye Umaskini mno kiasi cha kuamini kuwa kiongozi mzuri lazima naye awe maskini'..Na hili tatizo litatugharimu sana huko mbeleni!..Hii ni kwa sababu akili zetu hazijafunguka kuukubali mfumo wa Kibepali ambao ndio unaotawala dunia kwa sasa!..Mawazo yetu yamekuwa ya kimaskinimaskini sana..Lazima tufike wakati tukubali kuwa kuishi kimaskini na kifisadi yote ni makosa!!
Kinachotakiwa ni kubadili 'mentality' kwanza!..Hata kama tutabadili vyama kwa akili hii lazima tushikane uchawi kwa muda mfupi ujao!..Kama alivyosema Mh.Mbatia 'Let us think globally and act locally'..
@ W'S EXPERIENCE: Tatizo moja kubwa Tanzania ni UMASIKINI, we are too poor kuweza ku-deal seriously na matatizo mengine, Umasikini huanzia kwenye mali na ukiwa un checked huamia kwenye akili, masikini mmoja hawezi kumsaidia masikini mwingine kutoka kwenye umasikini waliomo, na kama Serikali haikuwasaidia kutoka kwenye ule umasikini, watailazimisha Serikali nayo kuwa masikini kama wao, so serikali yetu masikini hatukuipata kwa bahati mbaya!!
Willie! @ Facebook!!!
Pia sijui nani kasema ubepari ndo mfumo mzuri?watu hawafuatilii halafu mnasema mna exposure na ubepari,mnayafuatilia vyema ya wakongwe wa ubepari SnowBall et al?Hata wenyewe wako kwenye struggles za ku go through changes.Kuna watu waliozaliwa na kuishi ndani ya ubepari vizazi vyao vyote na sasa wana uquestion,kuna waliodai Obama alikuwa socialist,na kila wakisema hivyo ndo kwenye polls anaenda juu, sasa jiulize.Hao 99% wanaupigia mfumo upi kelele?kila mara kwenye mataifa hayo,wakati mabepari wakubwa wanaufanya huo ubepari wao,wakikwama,uchumi wa dunia unayumba na pia wa mataifa hayo,na anayewakomboa ni bailout ya walalahoi ama taxpayers kwa ujumla.Na nina uhakika kama si hizo ninazoziita socialistic programs ambazo kwa wenzetu zinapungunza unyama wa matokeo ya ubepari,basi kungekuwa na revolution...Chifu kwani ubepari ndiyo mfumo unaotumika na Tanzania?! Imeandikwa wapi? Kwenye katiba ya CCM au JMT?!
Chifu kwani ubepari ndiyo mfumo unaotumika na Tanzania?! Imeandikwa wapi? Kwenye katiba ya CCM au JMT?!
Pia sijui nani kasema ubepari ndo mfumo mzuri?watu hawafuatilii halafu mnasema mna exposure na ubepari,mnayafuatilia vyema ya wakongwe wa ubepari SnowBall et al?Hata wenyewe wako kwenye struggles za ku go through changes.Kuna watu waliozaliwa na kuishi ndani ya ubepari vizazi vyao vyote na sasa wana uquestion,kuna waliodai Obama alikuwa socialist,na kila wakisema hivyo ndo kwenye polls anaenda juu, sasa jiulize.Hao 99% wanaupigia mfumo upi kelele?kila mara kwenye mataifa hayo,wakati mabepari wakubwa wanaufanya huo ubepari wao,wakikwama,uchumi wa dunia unayumba na pia wa mataifa hayo,na anayewakomboa ni bailout ya walalahoi ama taxpayers kwa ujumla.Na nina uhakika kama si hizo ninazoziita socialistic programs ambazo kwa wenzetu zinapungunza unyama wa matokeo ya ubepari,basi kungekuwa na revolution...
Naweza kukubali ni one way kwamba 'Tumeishi kwenye Umaskini mno kiasi cha kuamini kuwa kiongozi mzuri lazima naye awe maskini'..Na hili tatizo litatugharimu sana huko mbeleni!..Hii ni kwa sababu akili zetu hazijafunguka kuukubali mfumo wa Kibepali ambao ndio unaotawala dunia kwa sasa!..Mawazo yetu yamekuwa ya kimaskinimaskini sana..Lazima tufike wakati tukubali kuwa kuishi kimaskini na kifisadi yote ni makosa!!
Kinachotakiwa ni kubadili 'mentality' kwanza!..Hata kama tutabadili vyama kwa akili hii lazima tushikane uchawi kwa muda mfupi ujao!..Kama alivyosema Mh.Mbatia 'Let us think globally and act locally'..
Sijui kama unaishi Tanzania..unajua kitu inaitwa 'cost sharing'?..Sidhani kama unahitaji kuona kwenye Katiba za vyama au ile ya JMT ndio ujue mfumo tunaoenda nao hapa Tanzania ni Ubepari. Kama unayajua mambo ya 'soko huria' a.k.a 'utandawazi' huwezi kuuliza swali kama hili!..Ndio tunachoongelea hapa kwamba hata hawa 'viongozi' wanaoziandika hizi katiba wanajaribu ku'reason' kimaskinimaskini'..yaani hawataki kuwa 'realistic'. Wanaweka vifungu kwenye katiba ambavyo wanajua havina maana but kwa sababu wanajua mtanzania maskini akikisoma atafurahi basi wanakiacha..Hivi kwa akili yako unaamini maisha tunayoishi ni ya siasa ya UJAMAA na KUJITEGEMEA????
aliyekwambia kukopa lazima nani?kama unaweza kulipa cash haina haja kukopa.kukopa ni mfumo uliotengenezwa ili uhisi unamiliki kitu wakati sio chako.ulikuepo Marekani umeona mortgage ilivyozingua watu.usiige kila mfumo.ndo maana serikali ya chama chenu mnaambiwa mpaka mfanikishe jinsia moja waoane kwa sababu ya mikopo.nakuhakikishia litafanikiwa.SHIDA NI CCM WANANCHI TUNAHANGAIKA KUTAFUTA NA KULIINGIZIA TAIFA KIPATO WATU WANAIBA,SHERIA ZINAZINGUA.KAIBIWA MALIMA LAPTOP HOTELINI IMEPATIKANA KAPIGWA ULIMBOKA KAKAMATWA CHIZI.WHERE U R TAKING THIS COUNTRY TUTAFIKA INSHAALAH.- Unajua through my research nimegundua kwamba Tanzania ni nchi ya kwanza Duniani, ambayo wananchi wake wana majumba makubwa ya kifahari lakini hayakujengwa kwa mikopo toka benki, ha! ha! ha! ha! yaani it is incredible!!Willie!
snowball, inawezekena hatujafunguka kimawazo na kukubali mfumo wa kibepari, lakini bado hii inarudi pale pale kwenye visionary leadership na governance system. Tanzania haijawahi kuwa chini ya uongozi wa chama kingine tofauti na tanu/ccm. Hivyo taifa limejengwa na kuongozwa kwa misingi ya chama tawala. Hadi sasa hivi angalia katiba ya ccm na ideology yake. It is full of contraditions.
kama dunia imebadilika na uongozi wa nchi ukaona mabadiliko hayo yanagusa 'socio-economic fabric yetu' kwa nini wasi-reflect kwenye mfumo mzima wa uongozi including katiba ya chama (sio ya nchi) ambayo ndiyo technically ndiyo inaegemewa sana kwenye utaratabu wa uongozi?
Hili swali la ideology liliibuka wakati wa uchaguzi mkuu 2010 na hizi contradictions zilijitokeza lakini bado hakujafanyika jitahada za makusudi kuuondoa huu utata. Kuna relationship ya karibu sana kati ya ideology na behaviour upande wa umma.
Kwa hiyo tukisema wananchi wanaamini kuwa kiongozi anatakiwa awe mtu masikini mimi noana (under current conditions) wako sawa kwa sababu waliopo wanaaminisha watu hivyo. Pia sikumbuke ule mkakati wa rais wa kuweka sheria inayotenganisha uongozi na biashara uko vipi? Nadhani kukiwa na clear guidelines/principles za uongozi pengine watu wanaweza kuwa na mjadala tofauti. Kwa sasa wanajadili based on what they have been made to believe!
aliyekwambia kukopa lazima nani?kama unaweza kulipa cash haina haja kukopa.kukopa ni mfumo uliotengenezwa ili uhisi unamiliki kitu wakati sio chako.ulikuepo marekani umeona mortgage ilivyozingua watu.usiige kila mfumo.ndo maana serikali ya chama chenu mnaambiwa mpaka mfanikishe jinsia moja waoane kwa sababu ya mikopo.nakuhakikishia litafanikiwa.shida ni ccm wananchi tunahangaika kutafuta na kuliingizia taifa kipato watu wanaiba,sheria zinazingua.kaibiwa malima laptop hotelini imepatikana kapigwa ulimboka kakamatwa chizi.where u r taking this country tutafika inshaalah.
MAADUI WA TANZANIA:
1. CCM
2. Mafisadi
3. Umaskini
-
- chadema wanasema wanataka kuleta maendeleo na kuondoa umasikini, lakini matendo ya viongozi wao n i very clear kwamba ni mabepari, wapo ki-individual zaidi kuliko jumuiya, so tutaendelea kzunguka na kutafutana uchawi mpaka mwisho wa dunia, lakini until wananchi wetu wamebadilika na hasa kwenye mind-set zao ni bure tupu!
Willie!
ni vema kabla ya kumtaja adui yetu kuwa ni umasikini, tujiulize kwa mapana umasikini ni nini?.Le Mutuz, karibu tujadili hili kwanza@ W'S EXPERIENCE: Tatizo moja kubwa Tanzania ni UMASIKINI, we are too poor kuweza ku-deal seriously na matatizo mengine, Umasikini huanzia kwenye mali na ukiwa un checked huamia kwenye akili, masikini mmoja hawezi kumsaidia masikini mwingine kutoka kwenye umasikini waliomo, na kama Serikali haikuwasaidia kutoka kwenye ule umasikini, watailazimisha Serikali nayo kuwa masikini kama wao, so serikali yetu masikini hatukuipata kwa bahati mbaya!!
Willie! @ Facebook!!!
Abligado....haswaaaaaadui nambari wani ni CCM ! Vingine ni yatokanayo
- hapa ndipo ninaposhindwa kuielewa jf, system haiwezi kuwabadili wananchi wasiotaka kubadilika badala yake wanataka majungu tu asubuhi mpaka jioni,
chadema wanasema wanataka kuleta maendeleo na kuondoa umasikini, lakini matendo ya viongozi wao n i very clear kwamba ni mabepari, wapo ki-individual zaidi kuliko jumuiya
tufike mahali Tanzania tuigeuze system ili iweze kutoa mianya ya wananchi kuwa matajiri bila kutegemea serikali, i mean hapa mjini ni impossible kukuta tajiri ambaye hana connections na serikali why?
Willie!
- The point ni Tanzania tunawezaje kuwa na wananchi wenye majumba mengi ya kifahari ambayo hayakujengwa kwa njia za mikopo toka benki? Sasa kama huna system ya mikopo, Serikali itapata wapi kodi za kuwaletea wananchi wake maendeleo?
- Hayo mengine sio muhimu na wewe unaweza kuyafanya sio kusubiri nikufanyie kila kitu ndio maana tunakuwa masikini bro, kutegemea kufanyiw akila kitu!!
Willie!!
The B, vipi za masiku??
Kutoka kwenye maneno yako haya nakumbuka maneno ya jamaa angu mmoja alisemaga kuwa "Hii nchi ipo perfect kabisa ila kuna kijisehemu kidogo tu mtu/watu anatakiwa akitwist, yaani kidude kidogo tu ukikisogeza tu hivi, mambo mengineee yooote yanakuwa saaafi"
Nilicheka sana na sikumuelewa, ila hapa umeiweka clear sana!
@ W'S EXPERIENCE: Tatizo moja kubwa Tanzania ni UMASIKINI, we are too poor kuweza ku-deal seriously na matatizo mengine, Umasikini huanzia kwenye mali na ukiwa un checked huamia kwenye akili, masikini mmoja hawezi kumsaidia masikini mwingine kutoka kwenye umasikini waliomo, na kama Serikali haikuwasaidia kutoka kwenye ule umasikini, watailazimisha Serikali nayo kuwa masikini
kama wao, so serikali yetu masikini hatukuipata kwa bahati mbaya!!
Willie! @ Facebook!!!
Chifu umeongea kitu cha maana sana hapo mwisho.
Hawa wanaopigia chapua ubepari hapa kwetu,wanaamini kwamba kuna nchi ambayo inafuata mfumo wa ubepari kwa asilimia 100.
Nchi kama Marekani na nyingi za Ulaya (ambazo zipo chini ya 'ubepari) zenyewe hazina ubepari wa asilimia 100. Nchi hizo zina mifumo kama Medical Care, Medicaid (Health Care), unemployment benefits, agro subsidies, social security, public transport systems (ambazo zinakuwa subsidised na serikali kwa kiwango kikubwa ili kutoa huduma nzuri ya usafiri kwa umma) n.k. Hii yote ni mifumo yenye chembechembe za kijamaa wa kiwango kikubwa, na inafanya kazi katika nchi za kibepari.
Ndiyo maana uwa naamini ili kuwa na mfumo mzuri wa kuendesha serikali ni vyema ukawepo mchanganyiko wa ujamaa na ubepari - kutumia mazuri ya ujamaa na ubepari katika kupunguza madhaifu ya kila mfumo ili mwisho wa siku mchanganyiko huo uweze kuleta faida kwa taifa.
Lakini kwa namna serikali hii ya CCM inavyoparamia ubepari kwa asilimia 100 na kuacha jukumu la maendeleo na ustawi wa jamii na wananchi liwe la sekta binafsi na soko huria; hakika haifahamu ilitendalo!