William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
Mojawapo ni familia yenu ambayo inamiliki mahekalu lukuki lakini hamjawahi kujaza form ya mkopo- Unajua through my research nimegundua kwamba Tanzania ni nchi ya kwanza Duniani, ambayo wananchi wake wana majumba makubwa ya kifahari lakini hayakujengwa kwa mikopo toka benki, ha! ha! ha! ha! yaani it is incredible!!
Willie!
@ W'S EXPERIENCE: Tatizo moja kubwa Tanzania ni UMASIKINI, we are too poor kuweza ku-deal seriously na matatizo mengine, Umasikini huanzia kwenye mali na ukiwa un checked huamia kwenye akili, masikini mmoja hawezi kumsaidia masikini mwingine kutoka kwenye umasikini waliomo, na kama Serikali haikuwasaidia kutoka kwenye ule umasikini, watailazimisha Serikali nayo kuwa masikini kama wao, so serikali yetu masikini hatukuipata kwa bahati mbaya!!
Willie! @ Facebook!!!
hiyo zamani,kwa sasa adui mkubwa ni mafisadi wanaotufanya tuwe maskini
Nakubaliana na wewe kwamba tatizo number moja Tanzania ni umaskini, lakini umaskini haujanzia kwenye mali kama unavyoongelea bali kwenye 'visionary leadership, na usimamizi wa mali tulizonazo.
Tanzania ni tajiri wa mali, lakini masikini wa uongozi bora. Tanzania ina diamond, gold, copper, nickle, uranium, tanzanite, arable land, rivers & lakes, sea, 25% ya 945,087 square km ni mbuga za wanyama, chumvi, geaogaphical location (land locked countries nyingi), milima na mabonde na sasa natural gas, oil, and top of that kuna nguvu kazi -% kubwa ya population ni vijana (production). Na ukiondoa vita ya Idd Amin Tanzania imekuwa (for the most part of post independence) nchi tulivu.
Tusimjaribu mungu, yuko busy na geniune problems kama watoto wanaokwepa risasi Syria, Iran, kandhaha na kwingineko.
- Unajua through my research nimegundua kwamba Tanzania ni nchi ya kwanza Duniani, ambayo wananchi wake wana majumba makubwa ya kifahari lakini hayakujengwa kwa mikopo toka benki, ha! ha! ha! ha! yaani it is incredible!!
Willie!
we ndo unaongea pumba......adui mkubwa ni wanaofanya wananchi wawe maskini- Kumbuka kama Serikali haikuwasaidia wananchi wake kujitoa kwenye umasikini, wananchi wale watailazimisha Serikali yao nayo kuwa masikini kama wao, so uko right!!
- Kwa wengine huko juu ukiona sikukujibu ujue kwenye hoja yako hakuna tija kwa wananchi na taifa! ha! ha! ha! ha! Au yanahitaji thread zake hapa hii thread sio mahali pake ok guys! ha! ha! ha! ha!
Willie!
Unaweza kutupa orodha ya nchi ulizoangalia na vigezo ulivyotumia katika research yako na kupata hiyo conclusion hapo kwenye red? shukran.
Adui yetu mkubwa zaidi ni CCM na umaskini wetu umeletwa na CCM, UAMSHO nayo imeletwa na CCM, Kila unachokiona kiko hovyo kimeletwa na CCM, CCM NI JANGA LA KITAIFA, CCM ni Hatari zaidi ya UKIMWI, UKOMA na Magonjwa mengine Mengi Sugu. Kuendelea kuwepo kwa ccm ni KUANGAMIZA MAISHA YA WATANZANIA na Raslimali zake. Na CCM ni CHUKIZO hata Kwa MUNGU na Alaaniwe kila anaesaidia Uwepo wa CCM!
- Visionay Leadership, sawa mengine hapana kama huna sound visionary leadership then ni vigumu ku-control the rest of your hojas so upo karibu sana na ukweli.
Willie!
[h=6]@ W'S EXPERIENCE: Tatizo moja kubwa Tanzania ni UMASIKINI, we are too poor kuweza ku-deal seriously na matatizo mengine, Umasikini huanzia kwenye mali na ukiwa un checked huamia kwenye akili, masikini mmoja hawezi kumsaidia masikini mwingine kutoka kwenye umasikini waliomo, na kama Serikali haikuwasaidia kutoka kwenye ule umasikini, watailazimisha Serikali nayo kuwa masikini kama wao, so serikali yetu masikini hatukuipata kwa bahati mbaya!!
[/h]Willie! @ Facebook!!!
we ndo unaongea pumba......adui mkubwa ni wanaofanya wananchi wawe maskini