Kweli mkuu 720p.Kwa mtoa mada , wachawi wake wakubwa ni Youtube, Insta na hizo video za wakubwa especially kama zote huwa anaangalia kwa high quality.
Gb 10 ni ndogo sana kwa masaa 10.
Maana kwa hesabu, kila saa alikuwa anatumia Gb 1, jambo ambalo ni kawaida kabisa.
Kutumia 10Gb kulingana na site unaweza kutumia hata masaa 4 ikakataa hata yasifikeMh! Inamaana kazi zingine kufanya kwa siku hiyo hakuna!
Kuepuka addiction kuwa bize na kazi za mikono. Utakuwa haupati muda wa kuingia mtandaoniMkuu Mm nia yangu ni kuepuka addiction.
Kingine ukiingia kwa wakubwa kuna zile auto play video kumbuka nazo zinachoma mb.Kweli mkuu 720p.
Exactly, na akiweka 3G , atembee na lite apps (insta lite, facebook lite, tiktok lite n.k)Kwa website unazotembelea 10GB ni chache sana.
Video ya dk 3 yenye quality ya 720p huwa ni mb26-40mb
Kingine kasi ya utumiaji wa mb ya kutoka edge, 3G (H+), 4G na 5G ni tofauti. 4G na 5G kama una mb za mawazo, tumia 3G tu.
Mwenyewe huwa natumia 3G (H+) siweki 4G maana mb500 kuisha ni chapu tu hata kama una peruzi
Hii quality inafaa sana pale unapotumia WIFI tu Mkuu, huku kwingine lazima upate moto.Kweli mkuu 720p.
Mimi simu kwangu ni rafiki yangu wa karibu sana na mkweli.Hii sio kawaida!
Am cooked, ninetumia GB 10 za intaneti, just in a day(less than 10 hrs) kwa ku scroll pekee!
Youtube
Insta
Fb
Site za wakubwa(twice)
Na hapo bado nimeenda kuchek mechi(means Kuna kama masaa sikushika simu)
.. Kweli nahitaji social media detox, hii imesababishwa na being layed off my job. Ni hatari saana. Alaf unaambiwa men's mental health is not real.
View attachment 3610153
I feel like I need time off.
Yeah , hiyo ndiyo changamoto yake, but kama mtu anataka kupunguza matumizi hana namna.Mimi naonaga hizo quality nyingine hazina ubora ile picha halisia
Naelewa, angalia mtiririko wa replies utaona tumefikaje hapa.Mkuu unajua lengo la huu uzi ilikua addiction sio ukubwa wa matumizi