Adui Yangu Anaitwa Simu

de Gunner

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
10,857
Reaction score
21,544
Hii sio kawaida!

Am cooked, ninetumia GB 10 za intaneti, just in a day(less than 10 hrs) kwa ku scroll pekee!

Youtube
Insta
Fb
Site za wakubwa(twice)

Na hapo bado nimeenda kuchek mechi(means Kuna kama masaa sikushika simu)
.. Kweli nahitaji social media detox, hii imesababishwa na being layed off my job. Ni hatari saana. Alaf unaambiwa men's mental health is not real.


I feel like I need time off.
 
Angalia na settings za chombo chako bhana!
Kuangalia tu mavitu ziende gb10 kwa siku!
 
A smartphone is like a living hell
 
Angalia na settings za chombo chako bhana!
Kuangalia tu mavitu ziende gb10 kwa siku!

Mkuu kwenye Maswala ya matumizi na kudhibiti background data niko vizuri. Bado pia huwa nawasha data saver mode kwa sababu ya matumizi mabayaa
 

Attachments

  • Screenshot_20260618_100011_com.huawei.systemmanager.jpg
    99.3 KB · Views: 8
Star link inge solve hayo matatizo ya ya bundle, mafisadi wa CCM wamezuia, wamezuia ajira na maendeleo ya mamilioni ya watu kwa huu upuuzi, CCM must go 👎
Sema ndo hivyo wanaogopa pia makampuni ya simu yatakuwa replaced. Mafisadi watakosa ugali wao, kodi ipatikanayo hukoo ni bloody hell
 
Kaka una consume nini kwenye hiyo simu kutumia that Gbs over 10hrs?

You need detox

Nunua kitochi , weka smartphone pembeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…