Kuhusu kujutia ni kawaida. Kwa sasa wako kipindi cha mpito. Wakipata demokrasia ya kweli watafurahia sana. Itachukua muda.
Hakuna sababu yoyote kutawaliwa na DIKTETA hata kama anawapa mazuri yapi. Matokeo yake yanafanana dunia nzima. Anapoondoka kwa sababu yoyote ile inchukua muda sana mpaka taifa kukaa sawa.
Ilikua hivyo kwenye tawala za jadi, imekua hivyo Ujerumani, Amerika kusini, nchi za kiarabu na hata sasa Afrika.
Kubwa ni kuwa na Demokrasia ya kweli. Hapo hata anapoondoka rais maisha yanasonga tu. UDIKTETA ni LAANA kwa taifa.